@iycsigntv: Raisi wa tanzania #samia kamjibu #Nchimbi kuhusu katiba mpya ya serekali Muusika: samia 📺 iycsigntv ✍️ iycsigntv Welcome to the iycsigntv youtube iycsigntv promotions dm and more
KWELI KABISA WENGI WANAFUATA MKUMBO TU HATA HIO KATIBA HAWAIJUI HTA KIFUNGU KIMOJA HAWAIJUI INASEMAJE ILIANZAJE INA MIAKA MINGAPI KIBADILIKE NINI ? MTU HAJUI NI MKUMBO JU YA MKUMBO. UMEONGEA POINT MAMA WA TAIFA UBARIKIWE SANA
2026-07-27 23:24:53
5
ever de king💫 :
mama ingekuw hivo sheria zisingeandikwa kweny kitabu...mbna sheria zinasomwa...na kurejewa☹️. Kitabu kina edition pia.
2026-07-27 18:51:46
2
Christian56_1 :
tunataka katiba mpya kweli
2026-07-27 16:18:42
11
møƙà xi6 :
huo ndio ukwel atuijui katiba tunafata mikumbo
2026-07-28 15:54:48
0
Man :
mungu akupe umrii mrefu
2026-07-27 17:07:17
1
tausistore :
Tunataka latiba ya mzee. Walioba siyo hiyo iliopo sasa ya. Magumashi
2026-07-27 13:34:58
2
james shija79 :
yazamani sana hiii speech
2026-07-27 14:31:33
4
masikin wa malafiki :
mama waluhusu tu saiv kuna kzaz kpya kpo mbali kifkla waluhusu mama etu
2026-07-27 16:43:53
1
Waboma :
ni rais anaongea tusiieshimu katiba jamani tutaskia mengi mfamaji
2026-07-27 14:01:45
5
Jeremiah Mabeche :
mama upo sahhi hata hyo iliyopo watanzania hawaijui
2026-07-27 12:14:24
2
Azhar suhayli :
Piga kazi mama yetu sisi tumekuamini achana na hiyo miluzi ya akina anko t
2026-07-28 00:10:08
0
Veronica Lukanda :
Hii mbona ya zamani
2026-07-27 16:58:32
0
Ufunuo Wikesy :
heee
2026-07-27 13:47:55
3
ramadhanhussein680 :
HAWAIJUI NA HAWTAIJUA WABADILISHIE GANDA LA NJEE TU WALIOPO MADARAKANI WAMEAPA NA HIYO HALAFU NDIO WANAWACHANGANYA WASIOJUAA
2026-07-27 13:36:52
2
king Nasri38 :
sasa mama shida iko wpi na katiba ni ya wananchi na wenyewe wanataka mabadiliko, au kuna vifungu vinalinda viongozi pekeake
2026-07-27 11:20:23
1
user1620cococo :
Wangapi tunasoma comment
Kisha hatujuwi tuchangie nini like hapa
2026-07-27 19:23:45
1
dizzo_ kids ☘️ :
Hiyo katib Nyi ndo mnajuw jamn mpya na iliopo sas. mtufafanulie ya zamn ikoj mpya itakuaje tuchguwe. uku mtaan maish ni magum kwakwer
2026-07-27 12:59:12
3
masanga tz :
ya mda
2026-07-27 09:54:00
1
Shingwi hoody :
👍
2026-07-28 19:24:37
0
SAID SULEIMAN :
Ndio mama
2026-07-28 19:19:52
0
Shingwi hoody :
Asante mama
2026-07-28 19:23:03
0
To see more videos from user @iycsigntv, please go to the Tikwm
homepage.