@eindigitaltz: “kwangu RONALDO Ataendelea Kuwa Bora Dhidi Ya MESSI, Kwasbabu RONALDO Kafanya Kila Kitu Kwenye Mpira, Ila Kwenye Kombe La Dunia Wenzake Ndio Wanamuangusha Kutaka Kuwa Bora Kama Yeye” ———- CHAMPEZ, Hassan Mwakinyo. Mtazamo wako ni upi kwenye hili?, Tupe MAONI Kwenye Comment Follow @CHEMCHEMI YA KIDIGITALI #eindigitaltz #einupdates #trendingvideo #fyp #sports
Messi ni mchezaj Bora wa Barcelona. Ronaldo ni mchezaj Bora wa Dunia 🔥🔥🔥
2026-07-28 04:42:53
26
@monttero grapher :
upo vzr tz one
2026-07-27 15:03:56
0
~ :
sio wewe tu cr7 anaweza Fanya kila kitu ambacho Messi kafanya
2026-07-27 18:36:58
9
OUSMANE MSEMO :
true say
2026-07-27 18:23:16
0
Abdillah Shibly :
wanangu w time CR7 tujuwane hpo
2026-07-27 17:23:25
27
kaselo :
wanangu wa CR 7 tujuane
2026-07-27 14:47:19
11
shabani mwabege :
ana kombe la duni ana tunzo nyingi kuliko ronado kwaiyo si kweli mess ni Bora kuliko ronado
2026-07-27 18:51:39
1
j@y 4⃣ 5 :
one love kaka mkubwa mwakinyo
2026-07-28 05:02:44
5
MchinaJr :
Yan toka nkujue leo ndo umeongea cha maaana san 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-07-28 07:18:20
5
kaju :
sijakosea kuwa shabiki yako 🙏🙏
2026-07-28 05:47:26
5
abasially :
huyu jamaa kweli mpira anaujua
2026-07-27 12:45:59
9
suleimantorres :
fact 👌
2026-07-27 11:12:32
5
CHEMCHEMI YA KIDIGITALI :
Champezz 🐐!
2026-07-27 11:27:58
5
JUMA🐖 PIG farm✔️ :
kama unamkubali mess gonga like apa
2026-07-27 10:53:17
8
Sultan Tamba :
leo umenikosha sana mwanangu team cr7 mwenzangu..
2026-07-28 10:01:30
5
Idrissa Said :
cr7
2026-07-27 16:58:35
3
monks-mode :
siuuuuuuuuuuuu 🐐
2026-07-27 19:45:17
3
Francisco Mwafubela :
SIUUUU
2026-07-27 19:27:47
2
dallaz.45 :
siuuuuuu
2026-07-27 17:45:11
2
Francofeli :
hakika Ronaldo ni bora
2026-07-27 19:46:21
1
aggressivegreater :
kweli kabisa kwasababu mess ni systematic lakn ronaldo anakosa hicho kitu ndo maana huwezi ona kiongoz wa juu hasa fifa wanao mkubali ronaldo lakn cr7 anapambn mwenyewe so its genius of coz
2026-07-27 20:25:30
2
Blood :
ronaldo anabahati xana kushindanishwa na messi kuhusu mpira messi anadunia yake
2026-07-27 21:15:16
1
ebullient_boy47 :
vip kuhus assist za messi nazo anawezeshwa
2026-07-27 16:30:49
1
Sisco Boy :
kabisa
2026-07-28 11:10:21
0
To see more videos from user @eindigitaltz, please go to the Tikwm
homepage.