@maridadifarm0: BWAWA LA SAMAKI – SIMPLE & IMARA 💧 Unataka kuanza ufugaji wa samaki bila gharama kubwa za kuchimba bwawa? Karibu @maridadi_farm kwa mabwawa ya kisasa yanayokupa urahisi na uimara kwa wakati mmoja. 🎯 Linahamishika – unaweza kulihamisha kulingana na mahitaji yako. 🎯 Rahisi kutengeneza – usimikaji wake ni wa haraka na rahisi. 🎯 Imara na linadumu – limetengenezwa kwa matumizi ya muda mrefu. 🎯 Huhitaji kuchimba ardhi – linawekwa moja kwa moja kwenye eneo lako. 🎯 Linafaa kwa ufugaji wa kambale na sato. @maridadi_farm Tutakusimia na utaanza ufugaji wa samaki kwa njia rahisi, salama na yenye tija. 📞 Karibu @maridadi_farm – Tunakutengenezea mabwawa bora kulingana na mahitaji yako. Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi. 📞0742 825 353 / 0715 794 629 Tupo morogoro #BwawaLaSamaki #FishPond #UfugajiWaSamaki #Kambale #Sato Aquaculture

Maridadi farm Tz
Maridadi farm Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 27 July 2026 10:09:50 GMT
32060
1228
50
190

Music

Download

Comments

venture8181
venture8181 :
na je maji unabadili kila baada ya muda gani na vp kuhusu joto na kunguru?
2026-07-31 18:16:05
2
mteule.26
Mteule 26 :
Nahitaji hii mkuu
2026-08-02 08:18:04
1
walikuku2
walinazii logistics :
karatasi ilo shingapi MITA moja
2026-08-07 14:49:41
0
mspoofficial
Mspoofficial :
inlet na out ya maji ikoje
2026-08-04 14:09:50
1
eng_kym
Eng_KYM :
Kunguru hawali hizi vitu??
2026-08-04 20:40:47
0
directorbaksh
bakshjr&orange :
bei kam hilo ni ngap
2026-07-31 12:57:47
0
remoshi22
picha Mbao Dodoma 📷 :
boss
2026-07-31 17:01:32
1
mrsnaboti
101 HARDWARE :
apo chini tumeweka kifaa gani ?
2026-07-30 12:03:19
0
allyabdi5
Bably :
lina ukubwa gani upana na urefu na kina
2026-08-06 15:42:16
0
mapambo_house_tz
🛒Gray :
hili mtu si anaweka hata ndani ya eneo la nyumba anapoishu kwa nje kdg? au lazima awe na Shamba
2026-07-30 07:04:57
1
jescaathanel
Jk♥️♥️♥️ :
maji unawabadirishiaje mkuu
2026-07-30 14:14:26
0
john.seven.7
La Créme De La Créme :
Gharama ya hili ni kiasi gani?
2026-08-01 05:16:09
0
donardpatrick16
donardpatrick16 :
ni shingapi bwawa kama Hilo mkuu
2026-09-09 16:58:05
0
isra.lisa1
cyberleek :
sina hamu😂😂😂 keep going
2026-08-05 10:51:31
1
safari_maps
Safari Maps :
Mkuu, kesho nakupigia. Nahitaji hii kitu🙏
2026-07-27 21:35:28
1
ellymagari
Elly Katole :
size hiyo hiyo kumifungia inagharimu Tsh ngapi full na samaki wake
2026-09-05 16:36:24
0
familyroyal2
muu :
linaweza kubeba samaki wangapi
2026-07-30 10:43:15
0
meshack6441
Meshack :
kama hii bei gani
2026-07-28 10:54:46
1
mambacho31.jackli
Mambacho31 Jackline :
unapatikana wap
2026-09-07 05:39:20
0
sarasfbkl19
sarasfbkl19 :
samaki hawawezi tafuna hy karatasi
2026-09-02 10:24:50
0
taffarino
Taffarino :
naweza kupata Hilo naylon la urefu wa kumi kwa kumi!?
2026-08-09 06:29:29
0
maridadifarm0
Maridadi farm Tz :
@Maridadi farm Tz
2026-07-27 10:19:12
0
To see more videos from user @maridadifarm0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About