@alkheri.tv: TeknoLoojiaa!! HUYU MWAMBA KAMWAGA SIRI ENZI HIZO ZA SHEIKH ALHAD MUSSA SALUM HADHARANI.... TeknoLoojiaa!! HUYU MWAMBA KAMWAGA SIRI ENZI HIZO ZA SHEIKH ALHAD MUSSA SALUM HADHARANI.... ➡️Inatokea huwa kuna MTU anakuwa Anaishi ndani ya Mioyo ya Watu hata kama hao Watu hawapigi kelele, Fuatilia kisa cha Ustadhi Haji kwenye hii video utanielewa.... Usisahau kutufollow KULIKE KUSUBSCRIBE KUSHARE na KUCOMMENT YouTube channel yetu. AL KHERI TV MWANGAZA WA KWELI ☄️
Tumesikia mabaya yake mengi zaidi, leo kwa mara ya kwanza nasikia anazungumzwa kwa wema. Hongera sana Sheikh Alhad Mussa Salum na Paul Makonda.
2026-07-27 17:24:03
11
Dr. Abukhalid :
mashaallah huyu bwana sjawah kumskia akisifiwa lkn leo mashaaallah
2026-07-27 14:37:45
10
laka :
kweli walimu wa madrsa wanazaraulika wallah kweli kweli
2026-07-27 21:16:53
1
ABDUL AKIDU :
Huyu Jamaa anayeongea anaitwa Nani ?
2026-07-27 19:21:11
1
sweet smart :
Naweza kupata namba za huyu sheikh?
2026-07-27 22:19:34
0
Mo Katula Senior :
Kweli shughuli tunayo BAKWATA kikubwa CHAKULA NA PESA KIDOGO TAASISI IMEISHIA HAPO
2026-07-27 21:33:56
0
yusuf spensa :
Muda wa kurudishwa sheikhe Al-hadi mussa michezo hio😅😅😅
2026-07-27 20:53:46
0
nasrah💞 :
hakuna watu wanapitia magumu kama walimu wa madrasa jamani acheni tu Tanzania mtu anapishwa kashika bibilia au msahafu lakini wanashindwa kuajiri kila shule iwe na walimu wa dini 3 kila upande
2026-07-27 21:39:26
0
naushadshaikh8733 :
shehe omba kwa mungu kuwa na imani na mungu wako kaa na imani mungu atakupa rizq yako ukiona hupati chunguza ibada zako
2026-07-27 22:34:41
0
kebby :
kwanini unamtaja kabila lake? uislam wote ni sawa sasa mrangi ndiyo nini?
2026-07-27 20:31:03
0
parchmy :
sema huyu shekh mi namkubali akiwa anaelezea vitu yan anakuweka atention we msikilizaj atar kaka😂😂😂🔥🔥🔥
2026-07-27 19:26:31
0
Amour Seif :
Mikitaka musitatake masheikh raising kununulika
2026-07-27 20:29:19
0
lubuma007 :
Tunataka kukutana na pesa chakula tutanunua wenyewe
2026-07-27 19:54:00
0
Abdallah Nondo :
allah awalipe kwa wema wao
2026-07-27 14:31:47
0
Ahmadi Ngunguti :
Allah ampe heri
2026-07-27 16:20:27
0
MTU BAKI :
subhanallah
2026-07-27 17:22:06
0
Abdulwahid :
Bismillah Mashaa Allah. Allah awajaze Imani mashekhe wetu wote
2026-07-27 20:41:40
0
Ticha Star :
Yaani umasikini ni adui mkubwa sana aisee.
Ukiwa masikini, akili nAyo ni rahisi kukukimbia
2026-07-27 20:37:52
0
Dully_gungi🌼 :
Kweli njia Rahis ya kupita moyoni mwa mtu ni kupitia Tumboni 😂😂😂
2026-07-27 14:37:57
6
mtitu.the.don :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣njaaa bwana 🥹
2026-07-27 13:15:10
3
Antananaariwowo :
...kunde, mchele, sukari, ghasia 🤣🤣🤣. wanapewa mpaka ghasia
2026-07-27 14:31:35
4
Dhulqarnain2020 :
Usichokijua hao matajiri wanawekeza kwenye mpira kwa sababu huko wanapata faida maradufu kupitia matangazo. Huku kwenye dini wakitoa malipo qiyama🤣🤣
2026-07-27 15:29:26
0
mr celo :
shekh kofia uliovaa unaiyona
2026-07-27 12:45:34
1
To see more videos from user @alkheri.tv, please go to the Tikwm
homepage.