@shakusports: #viralvideo #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok #simbasportsclub #yangasc

shakusports
shakusports
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 27 July 2026 10:50:29 GMT
105372
3888
271
37

Music

Download

Comments

kangwa723
fifi sexy lingerie :
A few moment letter 😁😁😁yanga bingwa
2026-08-27 08:41:45
0
lee.gan
lee gan :
old is good. ndio maana yanga bingwa always...!
2026-08-27 15:16:21
0
user7983713621523
Athu athest boe🤍 :
Old is gold
2026-08-27 18:47:29
0
pirlomirdo
Pirlo drummer 🥁 🔥 :
ayo ya zamani ndio yanachukuwa ubingwa 😂😂😂
2026-07-27 13:11:51
143
saimon.sangu
Saimon Sangu :
uzuri ni kwamba kila timu itacheza na hawa jamaa
2026-08-26 20:02:11
26
dikisongaudine
Dikison Gaudine :
hakuna team inatrain kama hii
2026-08-26 05:42:38
6
stephanojr8
StephanoJr :
Kwamba siku hizi watu wanakimbia Kwa kutumia mikono?
2026-07-27 17:05:32
63
pascal915
Pascal :
lkn wanafunga magoli ya kisasa😂
2026-08-27 07:31:02
10
abrah1084
Kasimbago/02 :
hayo mazoezi ndio yaliyowatoa upepo Simba Sc ampaka apata shots on target dakika ya 89😂😂😂😂
2026-08-27 10:26:56
10
saidtunda
2NDA :
mazoezi ni mazoezitu akuna ya kizamani wala ya kisasa
2026-07-27 13:42:41
31
siro.captein
Bodyguard :
kuichukia yanga ni ngumu sana daah😢
2026-08-24 05:51:03
4
pc39866
pc :
OLD IS GOLD😂
2026-07-28 13:43:07
1
abdulhamidsaidihamadi
HAMID :
Tukutane uwanjani
2026-07-27 16:28:03
9
babyp876
👑Baby 'P'❤️ :
ya kisasa si ndoyale tuliyaona kwenye Ile mechi yenu ya juzi mtu anaacha kupiga mpira na kichwa anaamua kupiga hewa Yale sisi kusema ukweli hauwezi mtuache tuendelee kufanya hayo ya zamani🥹😜😂
2026-07-27 18:43:58
8
zainabahamad781
💞zaynab🥰 :
bs kuna nini tena yanga BINGWAAAAAAAAAAAAA mara6
2026-07-28 13:38:49
1
elomary340
MUJTABAH🧠 :
tutaelewana tu endeleeni kucheka
2026-07-28 04:47:02
1
farajiyohann
Faraji Yohann :
tukutane mwsho wa msimu
2026-07-27 15:13:02
7
user5932390766979
Lenard Jonas :
Sawa ila siku yakukutana ndo utaona 🤣
2026-07-27 19:46:30
1
shangwebitungwa20
#Nasty_C :
Semeni tu ya kizamani baadae wakiwa na pumzi ya kutosha! Mje kusema wanachoma sindano!!
2026-07-29 07:35:36
5
hak_yung_
hakyung :
tukishafungwa ndo tutajua yakizaman au vp 😂😂😂
2026-08-02 01:41:50
2
marry_shirima
Marry Shirima :
😃yazamani ndio yenyewee ya kisasa utapeli mtupuuuu
2026-07-30 06:29:13
2
maty.phnomenal
máty ph£ñómeñal1️⃣3️⃣ :
Hii zaid ya line
2026-07-27 20:11:16
1
feisal.feisal03
Fei's mom💛💚 :
ndo yanayofanya wanakuwa mabingwa💚💛💚💛
2026-07-27 14:58:12
4
van_kid_
van_kid_ :
Kuna wachezaji watakimbia kambi😂
2026-08-26 16:54:36
2
zinck.master
Zinck Master :
mazoezi ni mazurii sanaaaaaa
2026-07-27 18:47:14
1
To see more videos from user @shakusports, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About