hahahahahahaaaa Jaman ebh kuuwen seriousl ivi ni kweli mnaosemaa mumeelewaa mme elewaaa kweliii??? maana. mim sjawah elew kabisaa an
2026-07-28 10:43:12
1
neey_simba :
katika maswali nilikuwaga sielewi hata nirudie kusoma mara ngapi jmn ila 😅😅😅😅
2026-07-27 12:40:06
18
DULLY 🛩 :
hayo maswali siwezi kuelewa hata nizaliwe tena😅😅😅
2026-07-28 08:06:33
3
Catherine :
hii topic ni kama logarithm tu vimenipitia kushoto😂😂😂😂
yan mwalimu akimaliza kutoa mfano mi nshasahau 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-27 21:57:31
6
Mrs cute :
32+4=36
2026-07-27 19:00:20
2
butterfly 🦋 🦋 :
2026-07-27 22:08:52
0
Esteria Chamo :
bwana sijaelewa unanichanganya
2026-07-27 18:21:19
2
Euniquist Eugene💖✨️💞 :
walimu walionifundisha mathe mungu anawaona 😭😭😭😭
2026-07-28 00:11:39
2
cute r :
hii topic sitoisahau...darasa zima tulikosa haya maswali mwalimu akafanya masahihisho basi akaanz swali la kwanza akaanza kutuelekeza mwisho wa siku jibu kapata sifuri dah tulimcheka mwalimu hiyo siku tulipigwa balaa darasa zima😂😅😅akasusa kufundisha
2026-07-28 10:37:01
0
Minnah :
mwanzoni nilijua nimeelewa ila anavyoendelea ndio napoteza kumbukumbu
2026-07-28 12:18:20
1
Geofrey Joseph :
mbona unaturudisha tuliko toka wengine tunawaza watoto wanakula Nini leo
2026-07-28 08:29:28
1
To see more videos from user @bundalah.dec.e.o, please go to the Tikwm
homepage.