Unatsha sana kaka we noma unanikumbusha mbal mno kipaji unacho
2026-07-27 17:49:11
4
Mahmudu Himis :
umelisahau 450 la black wolf ak mahmudu
2026-07-27 15:16:16
2
ALLY SAIDI MPANGALA :
☺️Umetoka shule unajisahau unapita kibanda Umiza unakuta Movie ya RAMBO iliyotafsiriwa na Lufufu unajisahau mpaka saa 2 usiku.
Home wanakutafuta mpaka wanachoka gafla unafuatwa na Bimkubwa na Fimbo yake anakutoa Baru ya hatar unachezea stick mpaka unafika home😅😂😂😅😅😅😅
Wakishua hawawez kuelewa😂😂😂😂
2026-07-27 20:03:11
1
Madicotheboy :
umepita mule mule🔥kk
2026-07-27 16:03:57
3
Azlan ⭐️🦁 :
Sasa ndugu kwann usifanye hio kazi mbali sana unanikumbusha
2026-07-27 13:13:27
4
Denis Deus :
kaka uko sawa jamani rudisha picha hizo
2026-07-27 14:26:29
3
Shekuye Naham :
unatukumbusha mbali
2026-07-27 12:38:26
4
wambu boy :
sawa bhana umefanya nicheke kwa sauti kubwa.... bravo bro
2026-07-27 12:50:43
3
samy :
Nimekumbulabali sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nakuomba nifanyie ya komando kipenzi mkuu
2026-07-27 18:30:45
1
Jafali Habibu :
yaaaaah
2026-07-27 12:17:34
1
Abby Love Clinic :
Kaka weka sauti kwenye movie ela iyo kipaji
2026-07-27 16:51:38
1
Paulo John :
kipaji unach
2026-07-27 22:01:14
0
Suleiman Kais :
dah we bwana utatukumbusha mbali sana
2026-07-27 23:30:19
0
💘 designer :
umetishaaa mkuuu kaz nzurii
2026-07-27 20:31:32
0
mholo 01 :
kaka unajua sana
2026-07-27 22:07:27
0
LIVI_TOURIST :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu.
2026-07-27 20:13:44
1
hamis mbusule :
anza kutafasiri kaka namkubali sana lufufuu
2026-07-27 20:36:05
0
0754322659 :
jamaa anatisha 🤣🤣
2026-07-27 20:50:48
0
To see more videos from user @gwauswazi, please go to the Tikwm
homepage.