Na jee Ukiota na ukiamka usikbuke chochote... shida ni nini?
2026-08-03 20:11:19
0
halima.ally.mohammed :
mimi naota lakini sikumbuki nisaidie
2026-07-30 15:27:38
1
mende450 :
juzi nimeota nimepata ajali na leo jion nimepata kweli ajal
2026-07-27 21:34:53
8
Mamake Ally :
ss mm.nsie kumbuka nifnyeje n ple nnpo kumbuka nusu ya ndto hizo nisaidie plz
2026-08-02 22:28:03
0
Zay_collection255🇹🇿 🇨🇳🇪🇬 :
Ukiota shida usipoota shida🥺
2026-08-02 20:22:24
0
Arafa Ezekia :
ndo mimi
2026-08-02 22:03:51
0
mercy :
nitafanya nini nikumbuke ndoto
2026-07-28 05:16:09
1
Abdulla Hussein :
shehe sis hatupt undi huku
2026-07-29 20:43:51
1
jack boyka :
mbona mimi sioti ila nikiote itakua mesenji
2026-08-01 18:24:58
1
user3675522926007 :
kama Mimi naota lakini sikumbuki kabisa,ata nikishtuka pia sikumbuki iyo Naya ni vipi
2026-07-27 15:59:18
1
Ahmedy :
Shekh naitaji ud naupataje
2026-07-27 19:23:50
1
Lawestt_J :
Mimi huwa naota alafu nasahau nilichokiota kipindi chanyuma nilikua nikiota kama nikitu ambacho nakua nauwezo wakukichoro nilikua nachora nakumbuka mara ya mwisho nilishawai kuchora picha ya kiumbe ambacho kichwachake kinataka kufanana na vunjachungu ilakilikua na macho makubwa ya duara
2026-07-27 16:12:40
2
Official killer :
mungu akujalie father
2026-07-27 12:33:22
1
khamis :
Hatari
2026-07-28 01:19:35
0
Mamake Ally :
n jee ukiota mara nyngne wakumbuka zte ndoto unazo.uota au mara nyngine wazikimbbuka nusu n nusu hzikumbuki.jee hpo n vp???
2026-08-02 22:25:59
0
I'm :
nasahau sanaaaa
2026-08-01 21:52:58
0
Amina Msekwa :
Mimi sioti kabisaa
2026-08-01 21:16:57
0
alizo_26 :
mm py sioti
2026-08-02 04:41:00
0
Fatima🥰 :
shekhe naota nasahau
2026-08-03 11:46:15
0
javel kagame :
ukiota shida usipoota shida tuamini lipi sasa
2026-08-03 13:05:28
0
user6570681810687 :
nisaidiye baba mm nota ila nasahau ama nakumbuka kidogo.
2026-08-02 14:06:28
0
petronilaanuro :
unapatika na wapi
2026-07-28 20:20:41
0
To see more videos from user @doctorsulle1, please go to the Tikwm
homepage.