Hapa kisii walipewa fursa ya kipekee na majority leader WA parliament hon OSORO watoe mtu mmoja mwenye degree apewe KAZI ndani ya serikali na nafasi ya wanafunzi 20 wa university wapewe chance ya free sponsorship....imepita sasa takriban miaka miwili uliza kama huyo mmoja alipatikana akapewa kazi na hapo Kwa wanafunzi kama kuna hata mmoja alifaulu....
Siasa ilizungushwa huwezi kuamini...kila mmoja kujipendelea...
yaani yavunja moyo sana
2026-07-29 17:09:17
0
queen Angel :
Tumefikiwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-07-27 13:08:16
1
Idijuma Abdul Faraj :
Mashallah kuna point hapo
2026-07-27 13:23:24
2
hamar :
tumeamka sasa tuna chifu wawili tayari Na Inshallah next year MCA tutapata,,asante kwa ushauri wako
2026-07-28 11:28:46
1
Zubeiby Mamtaz ❤️❤️❤️ :
it's high time walai this 2027 watu tufungeni macho .umelonga dada .👍👍💪💪💪❤️❤️
2026-07-27 20:19:20
2
T.i.n.a.h :
bitter truth.
2026-07-27 18:55:39
1
Kingston Hadi Man :
true
2026-07-28 10:39:21
0
General Idi Amin Dada :
UMESEMA UKWELI
2026-07-28 17:58:49
0
AbdallahTanduwa :
unakumbuka ukishikwa Mimi nikaja nikaongea na muhisimiwa ukatoka
2026-07-29 06:01:07
0
neymah :
kabisaa wafanye adabu zao
2026-07-28 10:12:58
0
Zyner Tonno :
WACHANA NASI MUNGU YUKO NASI
2026-07-28 15:27:45
0
Alia Botul kenyi :
very true waaaah
2026-07-27 19:12:36
0
Maalim Hassan :
walai dada umeongea pwenty aki wambie ukweli
2026-07-27 19:52:18
0
Swabrina Bae :
Ukweli mtupu Dada
2026-07-27 21:29:16
0
Aluru :
mum
2026-07-27 20:05:38
0
BREE🥰🩷❤️💙 :
bitter truth
2026-07-27 19:56:33
0
ismaelibrahim5203 :
uhakika sna dana
2026-07-27 19:56:20
0
Hamisi :
Swadakta ukhty
2026-07-27 17:29:09
0
To see more videos from user @honsheikhabdulrah, please go to the Tikwm
homepage.