@user7717347668185: Kwaniin zinaunganishwa pamoja ? Kwa sababu katika kila neno (مبين) thamani yake ni 102 ambapo ukija katika Ganjul arshi ina beti jumla 102 beti 94 👈 zikitaja.upweke ,utukufu na sifa na majina ya Mwenyezi Mungu huku beti 8 zikitaja upweke na kuonesha wadhifa wa mitume nane watukufu ambao ni adam a.s ,nuhu a.s ,ibrahim a.s ,daudi a.s ,mussa a.s ,issa a.s,ismaili a.s,Mtume Muhammad s.a.w.w. Kwa mujibu siri hizi zinaingiliana pamoja na kuleta shabaha moja inayokusudiwa na huku tukumbuke nambari 102 ndio funguo kuu ya kherii,baraka na neema zote za Kiungu Kwa hakika ukimsomea au kujisomea kwa ajili ya shifaa utapata shifaa, kwa ajili ya riziki utapata wepesi wa riziki, kuondosha mabalaa basi yataondoka,kwa ajili ya hajjat utakidhiwa hajja yako
Sayyed abuu abdillahil Ally
Region: TZ
Monday 27 July 2026 12:24:08 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @user7717347668185, please go to the Tikwm
homepage.