Me Mume wng hata akiambiwa Mshahara laki lazima ataenda kufanya test 😂😂😂 akirudi ukimpigia anakwambia kashapata kazi kumbe bado 😁 M/mungu nipindie huyu nina imani ipo cku atapata hitaji la moyo wake🥰
2026-07-28 07:58:54
22
Afritech electrical solution :
aliegundua kua alituma na kujibu sms ni mtu 1 like hapa
matumaizi ya R na L hayapo
ila good answer
2026-07-28 07:18:59
6
BA D🤫🤫🤫🫡 :
madereva tusio ogopa text gonga like hapa😅😅
2026-07-27 14:27:19
13
mj kibona :
hawa madereva wanafanya kaz ngum sana mishahara midgo kma hiyo, na bado gari ikipigwa fain ikipita weak ofis ikilipa huo mshahara unakatwa pia,
2026-07-28 11:07:05
1
KING MUHAYA👑 :
tunaomu ga mkono dereva like apa
2026-07-28 09:08:19
2
Shuu Wa'sembe :
kuna mshahara alafu kuna maireg
2026-07-28 08:35:40
4
MUHEZA BOE🫡🫡🚛🛣⛽️ :
kwenye kazi kuna kazi😅😅
2026-07-27 19:25:13
5
Martha Ntarebala :
nashindwa kuwaelew😂
2026-07-27 19:44:49
3
user mr4zone :
unyama sana sahizi mambo mengi sana wanataka vyeti vyewe kuvipata hela ndefu
2026-07-28 08:41:18
1
Veronica Mwalwanda :
duuh ko mtu akaendeshe gari mwezi mzima laki tatu na nusu ama kwa wiki sijaelewa mimi mmalila jamani
2026-07-27 18:31:23
3
Cheaf 🐉 dragon :
ILA KWEL
2026-07-28 05:12:47
1
khairati :
eee dereva laki tatu kumbe kweli 😂😂😂
2026-07-28 11:24:39
2
middle blanta tz :
sema hii kweli banah
2026-07-27 19:27:25
2
Cheaf 🐉 dragon :
ILA KWEL
2026-07-28 05:12:45
1
calvinmassawe2 :
Tukiwa na madereva 10 wa hivi daresalaam, Madereva Tanzania mzima watapenda kazi ya udereva kwa moyo mmoja
2026-07-27 18:03:30
3
Vee official🥰 :
🤣🤣🤣😂 hahahaaaaa jmn jmn
2026-07-27 18:29:02
1
S 2kizzy🇹🇿 :
kwnz nchk
2026-07-27 19:34:39
1
Amani Kakwaya02🇹🇿 :
😁😁 huyu ni familia kabisa
2026-07-28 17:03:32
0
Mr.Magobe :
mimi kabla sijapata ajira serikalini nilishawah kukataa mshahara wa laki 4 udereva wa magar makubwa NILIKATAA kabisa
2026-07-28 16:48:43
0
Mcharo🥰 :
10/10
2026-07-28 14:18:30
0
To see more videos from user @diwani_36, please go to the Tikwm
homepage.