@wanacreate24: Kawalete Waliokuibia 😂😂😂

WanaCreate 🇹🇿
WanaCreate 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 27 July 2026 12:44:53 GMT
34906
2168
15
62

Music

Download

Comments

user3939625694171
dayna :
basi cijaibiwa😅😅😅😅😅
2026-07-27 20:55:03
1
islamsaid8146
sinnombi :
2026-07-27 13:20:22
3
fadhalinzowa2
kiss kam six :
mhhh
2026-07-27 18:54:30
1
dicksonmwangi71
Dickson Mwangi :
umetisha afande😁😁
2026-07-27 14:56:14
1
nurat4336
Nurat3450 :
😂😂😂😂😂 kazi kazi
2026-07-27 13:10:26
1
bomo060
Twalid bomo :
mwanang Kila siku unatoka kitu kipya 😂😂🫡🫡
2026-07-27 17:51:50
2
abdul.sk258
Abdul SK :
Hahahahhahahaha
2026-07-27 13:22:27
1
solo.godi
$olo gold 🌟🌟🙏 :
walae nimewahi kamatwa kwa jia hiyo
2026-07-27 14:40:39
1
mrgambamache
Mzuni Bupina :
dah ila Kuna watu Huwa hawajui shida ya mtu
2026-07-27 17:48:18
1
kiladzimwi
Kilad Zimwi :
umetisha mkuu haaahaaaa😁😁😁
2026-07-27 14:23:41
2
efraimuwhy115
Efraimu Why :
Ilau ndo utawala wa nan kwan jaman😭😭😭
2026-07-27 18:52:18
0
kaba.selo.mshta.ki
KaBa SeLo MsHtA kiwa :
kwa polis wa bongo wanaweza hii watu japo. wanaigiza yanatoleaga kweli na hivi ni kwa nini mimi siku moja bhn niliumia sana yaana niliumia na yule mkuu wa kituo mpaka leo nikimuona najiskia vibaya yaani huruma yangu nidhamu zanguu imani yangu vyote kanishushi by the way ilikua hivi nilikutana na ajali bajaji imegongwa na kenta vibaya sanaa bajaji ilikua na abiria wanne na watoto katika ile bajaji walikua wa wili wale watoto walivunjika miguuu vibaya sana yaan unaangalia mala moja wa mama naoo wengine wa mezimia dereva wa bajaji kavunjika begaa nikasimama na kigar cha boss wangu japo kua nilikua nawah nilikokua naenda bas watu walijaa palee nikawa namuuliza dereva katulia kimya kama vile hayupo kumbe wale raia waliojazana pale walikua wanamuuliza ili wampigee bac nikawaambia watu jamani najitolea niwasaidie hawa walio umia niwakimbize hospitali kisha niwah ninako kwenda bc ikatakiwa tupitie kituoni tukachukue pf3 simnajua mtu hapokelew hospitalini bila ya kupitia polis kama mtu kapata ajali bc nikawapakia kufika utuoo polis ananiambia huyo mkubwa wa kituo ety alie wagonga yuko wap nawambiia sijui etu muekeni ndani huyu atakua anamficha mrengwa wa tukio nilirengwa na machozi bira ya raia kunyoosha maelezo nilikua msala umenigeukia mnatufanya tunashindwa kuwasaidia watu watu wengine mioyo yetu haiwezi kupita matatizo bila kutoa msada polis mjirekebishee msiwe mnakurupukaa aaah nilijiskia sana vibaya wallaah yaarabb
2026-07-27 19:50:20
1
netwon149
netwon1 :
🤣🤣🤣🤣☺️☺️☺️🤣🤣🤣🤣
2026-07-27 19:06:00
1
user0780508524
It's Shadidu :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-27 19:59:47
1
jaivaja5
msumbuf :
😂😂😂
2026-07-27 20:32:15
0
To see more videos from user @wanacreate24, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About