chadema hawana ugomvi na ccm wao wana ungana na maaskofu wote wachungaji kwa upqnde wa dini wao shida yao raisi awe mkristo ila wanapitq njia za mbali waki9ngea moja kwa moja watu mutastuka wao wanataka haki katiba tume huru wakati wa magufuli mkristo mwenzao mbona hawakudai hata kitu ki 1 walisagwa mpqka wakakimbilia nch7 za nje lkn hakuna baraza la maaskof7 wala nn kimya leo yupo wa dini nyingine eti ndo wanadai haki haki inachagua kiongoz akitawala huyu wao kimya lkn akija wa upande mungine ndio hila zinaanza
2026-07-27 20:25:08
0
young swaah :
mipango ile acha kubabaika
2026-07-28 15:51:36
0
zahara :
yeye mwenyewe ndo anapaswa kuijua thamani. vinginevyo chadema wamsusha hadhi Yake . mtoto mchagulie rafiki bora
2026-07-28 08:33:11
0
Damwa :
UPO SAHIHI 💯
2026-07-27 20:33:56
0
simba :
mm naisi chadema, kwa nn nasema ni chadema , sababu kaka mzee warioba alitoa kauri sio nzuri nzuri za. taifal letu alafu kesho yake kaenda kumtembea na kupiga nae picha ,kweli kaka ?
Kijana unachopaswa kujua ccm haitaki mabadiliko ya hili taifa na hata atokee mtu gani aseme kua njia ni hii ccm hawawezi kubali kwasababu wapo kwajili ya maslai yao2
2026-07-31 01:29:30
0
Semen Mohamed :
kweli yani ataatuelewi yulo upande gani
2026-07-28 15:35:08
0
user4768017992550 :
kwani wehujui yule nikijana father kitima?
2026-07-27 13:39:55
1
Abuu :
hawajielewi hao ,waambie
2026-07-27 14:34:58
0
Zenga de don :
RAIS SI BOSS WAEMAKAMU WA RAIS KWA SABABU MCHIMBI SI MTEULE WA RAIS
2026-07-27 22:50:44
1
khamisi falaki :
nchimbi chadema
2026-07-28 20:23:07
0
sammy :
wale nivichaa sana wanamtabuwa makam wa rais ase
2026-07-27 19:12:03
0
Alfred :
tatizo ni udini huo ndio upinzani Tanzania
2026-07-28 01:29:41
1
Gustavo :
Simai "Kuna Yuda ndani ya serikali"
2026-07-28 00:00:49
0
user6916676427414 be careful :
Chadema ni kikundi cha wahuni tu
cc lengo lao tuna lielewa kitambo
2026-07-27 21:56:21
0
Omary Msangule :
chadema nichama chawakiristo raisi wa sasa ni muisilam ndio maana unaona izi kelele
2026-07-28 05:30:51
0
Nursham Uwesu :
NI MAANDALIZI HAYO YA KANISA KATOLIKI AJE KUGOMBEA ILA NIPO PALE NACHEKA CHADEMA NA KANISA WATAVYOGAWANA USYAARABU NI JAMBO LA MUDA TU.
2026-07-27 16:44:57
0
user95950662942834 :
nimuzalendo
2026-07-27 13:31:53
0
sule2024 :
chadema kinaendeshwa na kanisa katoliki ndio mama wanaleta ubaguzi watu wabaya sana
2026-07-28 03:43:40
1
To see more videos from user @zungukakereog, please go to the Tikwm
homepage.