ukishapata mtoto hii video utakuja kuifuta mwenyewe😂😂
2026-07-27 18:16:38
256
Dee_bae🫦 :
Until you carry it 9months🥺🥺
2026-07-27 13:49:12
266
𝑴𝒔~𝑹𝒐𝒔𝒂𝒉~ᥫ᭡🧿 :
Too risky to repost 😂😂😂
2026-07-27 13:36:24
42
B&G💞💞🦋 :
iyo kauli niliiongea kabla sijazaa nilivyo zaa wee amna kitu ninachokipenda kama mwanangu....yani ilikua mipango yangu kabisa hii ila moyo umegoma kabisaa
2026-07-27 13:46:00
106
Melanie_Sugar 🍫🇹🇿 :
siwez acha mtoto wangu nyuma,ila hata muona hata ukucha
2026-07-27 17:17:14
65
zantyofficial :
Mwanetu utakuja kufuta hiiii video ukitoka labour
2026-07-27 20:43:34
10
thugh_ivonn😇❤️ :
The only way to understand the video. Is through likes🫠
2026-07-27 20:54:51
0
Victoria :
time will tell gal..
2026-07-27 17:17:51
7
Gifted🦋🌹 :
Nilisemaga hvo mwenetu ila haiwezi tokea na utofanya hvo em kua nao uone🤣🤣🙌
2026-07-27 17:26:29
23
🏹❤Cupid_Heart :
Hii nayo haina come back 😂😂🙌..
akhii there is no way...
2026-07-27 17:37:10
0
pre_🦋Hally 🌸" ♎ :
nikikumbuka nilitaka kufa labor hpn kwakwel
2026-07-27 14:06:49
53
_maggiejoseph :
Yesssssss!!
2026-07-27 17:22:02
1
dee_mimy❤️ :
Hakuna cha sbr ukishazaa wala nn mm nna mtoto na swez ondoka nae naondoka peke angu😂😂
2026-07-27 19:14:25
11
Aysher🍭🦋🦋 :
mtt anauma kuliko mama yaan hata msiba wa mama haukuti maumivu ya kupoteza mtt jmn ww dada kwa sasa huwezi kunielewa ili siku ukizaa ndo utajua🥹🫵 mm siwezi kiacha mtt wang kwakweli tutalala hata mtaroni
2026-07-27 18:21:30
11
WINNIE MPOLE🫣🥰❤️ :
Hii akili ni ya kwangu aiseeee 😂😂😂😂😂 naondoka na nguo na Hakuna kitu mtasema niwaelewe😁😁😁😁
2026-07-27 15:28:55
9
favor :
et mpk unipeleke dawati la jinsia
2026-07-27 13:48:55
18
momo😜 :
ungekaa kmy we dada😆
2026-07-27 16:39:49
8
🥀Baby pili 22🥀 :
wewe na mimi🤞
2026-07-27 13:39:49
8
:
kama mama etu alivotuach kwa baba 🥺
2026-07-27 18:27:49
7
To see more videos from user @shassycollectionsarusha, please go to the Tikwm
homepage.