kuna sisi tunaofanya kaz usiku kama wanga huku familia imelala afu mchana tumelala watoto wanacheza oya eeeh tuliambiwa kuwa uyaone tukawa tunafurah sasa tunaona moto💔💔😭💯🙌
2026-07-27 18:47:52
5
A RZ :
nipe ya kufanya mwanamuke akupende
2026-07-27 17:41:31
2
🇨🇺_SÍRÀÀJ🇨🇺 :
fact bro
2026-07-27 13:58:36
1
Dominick Turu :
kaka nakufatilia sana
2026-08-10 07:56:17
1
meryy🥰 :
Bebee nikipata PESA nitakurudia nikikuta WAMEKUCHUKUA basi 😂💔🥰🙌🙏