mm Niko huku zanzibar ila Kun rfk yngnalifiwa n mtoto wake yn watu walikuja ni wengn sana wazanzbr muwasem tu kwa mengn ila wana roho ya utuuu ukiishi nao vzr mm mtu akiniona atajua mzanzibr kumbe no
2026-07-28 10:11:08
28
Bushra bride stylish boutique :
Hii sio wabongo tu ni kwa watu wote
2026-07-28 04:58:43
40
Catherine 🥰😍 :
asa mm nkiwasalimia wazanzibar za asubuh hawaitikii wantaka salamu ya kisilamu na mm siijuwi jamani 🤣 nifanyeje
2026-07-28 05:17:41
25
issa_besty07 :
Big time
2026-07-28 05:13:59
1
Arafa :
hakuna Kujipata Dada Hawaitikii Salam Wengine Wamsalimia Mtu Mara tatu haitikii sasa Wanyamaza ongelea pande mbili
2026-07-28 07:23:15
14
romeo :
umeongea points dada
2026-07-28 07:30:46
2
stellah...nyange994 :
kazini unaenda saa11 alfajiri watu hawajaamka unarudi usiku watu washalala Mungu atudaidie tu mana huwezi kumkatishia mtu usingizi wake kisa salamu
2026-07-28 04:43:53
21
mapesa :
part 2 please 🙏
2026-07-28 01:33:54
3
nai faras🐎 :
sio wabongo t binadamu Salam muhimu
2026-07-28 04:06:46
12
MILLION DOLLAR97 :
Apo lumumba hapo huponi hapo yani ni shida
2026-07-28 05:41:08
14
khamis :
Exactly
2026-07-28 01:03:27
2
Quenizy2 :
Nikweli dada umeongea pointy mungu akutunze🙏🙏
2026-07-28 20:28:11
0
novauto :
Dada umeongea point kubwa nakupa 5
2026-07-28 02:51:29
5
OMMY :
mbona picha haipo tuoneshe picha
2026-07-28 19:08:04
0
fahadi :
Wacha yawafike
2026-07-28 09:10:02
0
soba ussibasha :
kaluuu Innallilahiwainaillahirajiun Allah amsamehe makosa yake
2026-07-28 17:45:40
1
Asmahani Yussuf :
innalilahi wainnailaihi rajiuun,allah amsamehe kwa kila alipokosea
2026-07-28 04:24:32
8
da-Tuu :
Hatari sana
2026-07-28 06:07:39
2
Fadhil Tangisho :
dada upo sahihi
2026-07-28 11:14:50
1
user8349786694290 :
asante dada mungu atakulipa kila lenye her mpenzi
2026-07-28 16:26:26
1
30 :
Sio nyinyi tu kla mahali salamu ni muhimu na salam inaunganisha udugu, innalillah wainna ilayhi rajiun Allah ampe Kaul thabit
2026-07-28 17:56:49
1
Devdecultule :
Tatizo znzb wengine hajibu ata iyo slaaaaleku
2026-07-28 18:41:13
0
kedeko :
Sawa dadaang
2026-07-28 10:44:54
1
To see more videos from user @uturiiorginal1, please go to the Tikwm
homepage.