Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@cotrinhu70: Vừa mát, vừa đẹp, ko mua thì phí #thoitrangtrungnien #dotrungnien #dobotrungnien #aotrungnien #dotangme
CÔ TRINH U70
Open In TikTok:
Region: VN
Monday 27 July 2026 14:08:37 GMT
1147
4
1
0
Music
Download
No Watermark .mp4 (
6.54MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
7.16MB
)
Watermark .mp4 (
6.87MB
)
Music .mp3
Comments
Cụcc zàngg🧏♀️ :
E xin link chân váyy ạ
2026-10-01 12:37:58
0
To see more videos from user @cotrinhu70, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
Quạt Cây thế hệ mới 7 cánh.8 tốc độ Gió hẹn giờ tự tắt từ 10 phút đến 9 tiếng tiết kiệm điện cho các Bác đây ạ#quạtcaythehemoi #quạtđiện #quatcay #quat7canh #quatgiadung
xả draft #viral #fyp #xuhuong #maitrang
1. GPA HAijengwi WAKATI WA EXAM, INAJENGWA KILA SIKU Usisubiri wiki ya mtihani ndipo uanze kusoma kwa nguvu. Uelewa wa mapema unafanya maandalizi ya mtihani yawe mepesi. ✔️ Mfano: Ukisoma topic moja kila siku kwa dakika 60, mwisho wa mwezi utakuwa umejenga msingi mkubwa kuliko anayesubiri wiki moja kabla ya mtihani. 2. COURSEWORK NDOGO INAWEZA KUBADILISHA MATOKEO MAKUBWA Wanafunzi wengine hudharau assignments, presentations, tests na nyinginezo wakifikiri mtihani wa mwisho ndiyo kila kitu. ✔️ Mfano: Mwanafunzi anayepata alama nzuri kwenye coursework anaingia UE akiwa tayari amejikusanyia msingi mzuri. Lakini anayepoteza assignments na tests anaweza kujikuta analazimika kupata alama kubwa zaidi kwenye UE ili kufidia. 3. MARAFIKI UNAOWACHAGUA WANAWEZA KUATHIRI MAISHA YAKO YA CHUO Si kila anayekaa na wewe anaenda unakoenda. Mazingira ya marafiki yanaweza kukujenga au kukutoa kwenye malengo yako. ✔️ Mfano: Ukiwa na kundi linalopenda kusoma, kujadili assignments na kuheshimu muda, utasukumwa kufanya hivyo pia. Lakini ukiwa kwenye kundi linalotumia muda mwingi kwenye starehe na kuahirisha masomo, unaweza kuanza kufuata mfumo huo bila kutambua. 4. MUDA UKIPOTEZA CHUONI, HAUWEZI KUUJONDOA Chuoni una uhuru mkubwa, na hapo ndipo baadhi ya wanafunzi huchelewa kugundua kwamba uhuru usio na nidhamu unaweza kuwa hasara. ✔️ Mfano: Unaweza kutumia masaa 5 kwenye simu kila siku ukisema “nitasoma baadaye.” Baada ya wiki kadhaa, unagundua umebakiwa na topics nyingi na muda wa mtihani umekaribia. 5. LECTURER SI ADUI YAKO, JIFUNZE KUULIZA Wanafunzi wengine huogopa kuuliza wanaposhindwa kuelewa. Baadaye ndipo hugundua kwamba walikaa semester nzima bila kuelewa msingi wa topic. ✔️ Mfano: Kama hujaelewa concept kwenye lecture, uliza darasani, muulize lecturer baada ya class au jadili na wenzako. Swali la dakika mbili linaweza kukuokoa masaa mengi ya kuchanganyikiwa wakati wa exam. 6. CHUO SI SEHEMU YA KUPATA DEGREE PEKEE, NI SEHEMU YA KUJENGA UWEZO Unaweza kumaliza na degree lakini ukawa huna skills zinazokutofautisha kwenye soko la ajira. ✔️ Mfano: Mwanafunzi wa Mass Communication anaweza kutumia muda wa chuo kujifunza video editing, photography, public speaking, writing, graphic design au social media management. Akihitimu, ana degree pamoja na uwezo wa kufanya kazi. 7. USILINGANISHE SAFARI YAKO NA YA MWANAFUNZI MWINGINE Wanafunzi hutoka kwenye mazingira tofauti, wana uwezo tofauti na wanapitia changamoto tofauti. ✔️ Mfano: Mwenzako anaweza kupata GPA kubwa semester hii wakati wewe unapambana. Hilo halimaanishi umefeli maisha. Badala ya kumchukia, chunguza anachofanya vizuri na tumia kama motivation ya kuboresha mfumo wako. 8. FEDHA ZINAHITAJI MPANGO, SI MATUMIZI YA HISIA Wengi hugundua hili baada ya pesa za matumizi kuisha kabla ya mwezi kuisha. ✔️ Mfano: Ukipokea Sh100,000 na kutumia Sh50,000 ndani ya siku chache kwa starehe, simu na matumizi yasiyo ya lazima, utajikuta unahangaika siku zinazofuata. Lakini ukiweka bajeti ya chakula, usafiri, masomo na dharura, unadhibiti matumizi yako. 9. REPUTATION YAKO CHUONI INAWEZA KUKUFUNGULIA AU KUKUFUNGIA MILANGO Jinsi unavyowatendea watu, unavyowasiliana na unavyowajibika hujenga jina lako. ✔️ Mfano: Mwanafunzi anayejulikana kwa kuwa mwaminifu, punctual, mwenye heshima na anayekamilisha majukumu anaweza kuaminiwa kwenye project, leadership au opportunities mbalimbali. 10. USISUBIRI MWAKA WA MWISHO KUANZA KUJIANDAA KWA MAISHA BAADA YA CHUO Hili ndilo wengi huligundua wakiwa karibu kuhitimu: degree pekee haitoshi kukutengenezea future. ✔️ Mfano: Kama unaanza mapema kujenga CV, network, portfolio, skills na experience, unapofika graduation una kitu cha kuonyesha zaidi ya transcript. Lakini ukianza siku chache kabla ya graduation, unakuwa unakimbizana na muda. 🔥 HITIMISHO Baadhi ya mambo ni bora kuyajua mapema, kuyafanyia kazi mapema na kujiepusha na majuto ambayo ungeweza kuyaepuka. Campus Wakeup, WANACHUO TUNAAMKA PAMOJA.#Foryourpage #university #tiktokviral #motivation #tiktok
#CapCut
@Closetape дак это вывод #fup #bs #keisrr
Quais são as categorias do TikTok Ad Awards? (Só vale resposta errada nos comentários 😏) Achou que mandou bem esse ano? Se inscreve agora. #TikTokAdAwardsBR25
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy