walinzi wa hospital muda wote Wana hasira na wanajua zamu zote za madoctor na nesi mmh Sina hamu nao Kuna siku nilienda kutoa damu kwa ajil ya mgonjwa akanifukuza eti nimekonda siwez kuingia ndan loh
2026-07-27 19:57:57
73
•Bin zayd :
Walinzi wa TRA wanajikutaga FBI 😂😂😂
2026-07-27 17:46:59
96
Aiem Ellie 🌸 :
Alf kuna walinzi wa SUA jmn😂
2026-07-27 15:47:25
97
. :
Unazungumzia chuo gani labda sio MUST😅😅
2026-07-27 15:59:03
26
Zainabu Madai :
weee huwajui walinz wa vyuo..wanavyojuwa kudai id...jmn
2026-07-28 05:33:05
14
Kazimil Benard :
Apo kwenye walinzi wa vyuo labda syo walinzi wa MUST 😂😂
2026-07-27 15:44:54
16
first year wa Rucu🤘 :
wananiit mkuu wa majeshi uncle😂😂😂😂
2026-07-27 17:27:57
20
Mrs🙈 :
😂😂😂😂shda inaanzia kwa mkuu wa majesh 😂
2026-07-27 18:18:15
6
Naa 🍀🌸 :
😂😂mkuu wa majeshi wewe😅😅
2026-07-27 16:27:54
2
✨Izacky Tz💰✅ :
we jamaa 🙌😂
2026-07-27 14:44:52
20
Ben :
nilikuwa nasubiri mkuu wa majeshi🤣🤣
2026-07-27 15:54:37
5
sarah :
walinzi wa hospital ujakosea😂😂😂
2026-07-27 14:34:36
17
Gerson_💎 :
me Kila siku naisubiliaga ya mkuu wa majeshi ni balaa
2026-07-27 15:00:46
6
Gft :
hapo kwenye mkuu wa majesh unanikosha sana😂😂😂😂
2026-07-27 16:47:21
10
Trude🎀🧸 :
Walinzi wa hospital Kha
2026-07-27 19:45:01
3
Losey :
vinapendaga kuitwa afande na sio mlinzi🤣🤣🤣🤣
2026-07-29 19:54:35
0
nyaruhucha :
wa bar sas hao ndo noma
2026-07-27 19:48:03
3
Mr. PC THE COMPUTER SOLUTION :
umesahau wa chuo na ID
2026-07-28 07:12:58
2
dayana💝 :
umesahau walinzi wa NIDA😂😂😂😂
2026-07-27 17:07:06
3
To see more videos from user @niccollasy, please go to the Tikwm
homepage.