@agricultureplustz: MASHINE YA KUPIGA MPUNGA USIKUBALI MPUNGA WAKO UKUPOTEZEE MUDA NA FAIDA! Msimu wa mavuno unapofika, kasi ndiyo faida. Mashine ya Kupiga Mpunga kutoka Agriculture Plus imeundwa kukusaidia kumaliza kazi kwa haraka na kupunguza gharama za uvunaji. ✅ Hupiga mpunga kwa usafi na ufanisi ✅ Hupunguza upotevu wa mazao ✅ Heavy Duty kwa matumizi ya muda mrefu ✅ Rahisi kutumia na kutunza ✅ Inafaa kwa wakulima binafsi na biashara za huduma za kupiga mpunga 💰 BEI: Tsh 1,700,000 Tu 📍 Agriculture Plus – Tegeta Nyuki, Dar es Salaam 📞 0795 161 727 🚚 Tunasafirisha Tanzania nzima #RiceThresher #Mpunga #AgriculturePlus #creatorsearchinsights #fyp