@emsuya3: Sub Tank switch

E-Msuya
E-Msuya
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 27 July 2026 14:37:29 GMT
39940
2618
102
70

Music

Download

Comments

master_chris5
Master Chris :
Nimejifunza mengi kutoka kwako... Hongera Kaka💯
2026-07-27 17:01:05
24
magakitaula
MZEE MAGA🫶 :
Mimi sina truck nna alphard lin som lako zur san thanks you
2026-07-28 22:24:06
2
cadabra9785
cadabra :
naomba msaada, hv kwann ukianza na sub ukija kuhamia main tank unakuta mafuta ya main yamepungia yaan mshale umeshuka, uhusiano kat ya main na sub ikoje wakuu?
2026-07-28 22:12:07
1
youngrostar
Wile Moshi :
Je ukianza na Sub tank then Main tank hakutakuja kuwa na tatizo lolote baadae kwa gari?
2026-07-28 18:55:08
1
manondo12
cash money 🤑 💸 :
tatizo likitokea huwezi kujuwa litaanzia wapi, kawaida mjapani hakusema tuanze na sub, unaanza na main theni kama yakiisha unatumia tank la ziada, we mwenyewe umesema tank la ziada, sasa unaanzaje na ziada?
2026-07-28 19:55:22
3
john0759
MATTHEW :
Naomba kuulza uki switch SUB tank button ina maana hii MAIN tank mafuta hayatakuwa yanatumika yatutmika ya sub tu?
2026-07-28 12:03:17
1
lukmanhaidari3
Baby driver 🇹🇿 :
sas kak samahan unapogusa hiy batan ya sub na ukatumia sub tank mafuta yakaisha je nitabonyza ten hiy batan ya sub ili niend kutumia main au yakiisha automatic inanipelek kweny main tank
2026-07-27 17:06:59
5
ferouzmasoudriamy
Ferouz Masudi :
asante kwa elimu kaka nimeendesha Land Cruiser miaka mingi ila sijawahi fikiria hii
2026-07-28 04:02:07
1
anwaryhaidary
The GREAt MaRJEIB*🇹🇿1HZ🚘 :
JE HITILIFU IKAGOMEA KWENYE SUB....ambpo main haijiruhusu utafanyaje
2026-07-28 13:39:53
1
saidyrajab4
saidyrajab901 MR SIDE :
mkuu naomba maana ya hio ABS boss wangu siielew kidgo ntaka nijue maanake
2026-07-27 20:41:30
0
barnaba.kamba
Barnaba Kamba :
Àsante kwa elimu mkuu wangu
2026-08-01 06:41:03
1
simmysamwel
samwelsimmy :
neno ikitokea ina weza tokea hata kama sub tank imejaa
2026-07-28 10:26:18
0
catchall587
Bravo Mike :
Pia wakumbushe kwamba wakati wa kutia mafuta kituoni , muagize pump attendant aweke lock kwenye pump ikikata automatic baada ya kujaa wasishindilie mafuta eti mpaka mdomoni , ina madhara ikiwemo kuua gauge mapema, lazima ibaki nafasi ya hewa. 2. Land Cruisers zinatumia rotor pumps, rotor pumps zote zinapata lubrication kwa njia ya diesel hivyo kukatikiwa na mafuta unaua pump haraka sana ni sawa engine kukosa oil.
2026-07-28 15:13:08
1
betadermnmcream
R🇹🇿🇹🇿💪💪🙏🙏H :
shukurani 🙏 kaka kwa elimu Naomba kazi kaka Sina kazi ninia chetyi Cha VIP
2026-07-29 06:53:31
1
praygod.sumari0
PRAYGOD SUMARI :
upo sahihi bwashe
2026-07-29 13:28:13
1
japhet.lulinga
Japhet Lulinga :
Bro umeshasema kukitokea changamoto ya umeme, kumbuka hata ukiizima hiyo button bado haitafanya kazi kubadili kwenda tank tank kutokana na hiyo changamoto iliyotokea kwenye changer!
2026-07-28 19:45:46
1
dizzo_180
@Dizzo180 ♑ Capricorn :
Nashkuru kwa elimu kaka, Kiukweli,sikuwa naijua hyo trick🙏🙏
2026-07-28 19:17:18
1
anwaryhaidary
The GREAt MaRJEIB*🇹🇿1HZ🚘 :
MAIN ina pampu SUB ina pampu yoyote itayoleta dharula basi umeme haitakuwa na upendeleo kuruhusu MAIN ANGALIZO heri ukaanza na MAIN tank kwasbb main ndio tank yenye kuchukua mafuta mengi kuliko SUB.... NINAYO HIO 80 SERIES
2026-07-28 13:47:52
1
cokap97
Cokap :
je ukianza na sub tank alafu gari ikapata itilafu ya umeme kama ulivyo sema haiwezi kusumbua kuswitch kutoka SUB tank kwenda main tank
2026-07-28 15:18:01
1
mmanywa_jr
Mmanywa_Jr :
Sahihi kabisa bro, nimekupata kwenye hii concept. Lakini nina swali hapo kidogo... Umesema lengo la kushaur tuanze na sub kabla ya main ni kwamba usije ukashindwa kuendelea na safari kwa kushindwa kubadili kutoka main tank kwenda sub tank kwa issue ya hitilafu ya mfumo wa umeme. Sasa swali langu ni kwamba vipi kama kwenye sub tank na unataka kubadili kwenda main tank ila kuna hitilafu ya umeme. Hiyo button itafanya kazi?
2026-07-28 06:35:52
1
kamjamaatz.safariguide
Rama Msuya :
tuondoke mbio mbio
2026-07-27 14:42:30
2
_rascal4
TGsimoo :
akili kubwa sana 🫡
2026-07-27 16:47:52
2
victorbayo657
victor william :
najua una nia nzuri ila wengine hatutaki hizi post maana unafundisha maboss wanajua mafuta
2026-07-28 05:30:41
1
antonitutu235
Antoni Tutu :
mdau gari Haina gauge ya rpm engine
2026-07-27 21:06:23
2
To see more videos from user @emsuya3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About