This was played on my parents wedding. My mum just told me. 🥰🥰🥰
2026-07-28 18:32:07
1
H F :
https://vt.tiktok.com/ZS4RnVUfE/
2026-07-28 23:20:11
1
Hair by shidraf :
waow I was in primary ❤️
2026-07-28 15:57:07
5
Ummu-Rish :
best of the best
2026-07-28 21:28:31
1
user1439793569490 :
Mpaka nimelia moyo umeniuma nimemkumbuka sana Marehem babaangu wakat ss wadogo pale Gatundu nyimbo zetu hizi yaan daah
2026-07-28 17:27:36
15
Legend !🇹🇿 :
Hizi nyimbo zinaliza wengi ! Enzi hizoo tukiwa wadogo , wazazi wetu bado vijana ndo nyimbo zao .Wengi wameshatangulia mbele za haki ukisikia hizi nyimbo unalia tu.
2026-07-28 20:02:42
16
kitoto :
OLD IS GOLD
2026-07-28 03:54:10
6
jalil_malik :
Hamu ya Nyumbani..Hamu ya zamani…Kumbukumbu za zamani = Maumivu yaliyojaa huzuni 🥹🥹🥹
2026-07-28 20:11:11
7
cuttiepie786 :
Hizi ndio taarab original... zenye maana na mafumbo yakufunza. sio za saizi kukattika uchafuu tuu na nyimbo za matusi upuzi mtupu
2026-07-28 17:53:15
6
Muna Bhai :
Wakati Umekwenda Dahh
2026-07-28 09:33:55
11
Uwamahoro Zawadi :
ooooh🥰
2026-07-29 00:10:39
1
mamushka...namushka :
❤️❤️❤️Wow
2026-07-29 00:10:13
1
masala02 :
Waqt
2026-07-28 19:43:17
1
CAMANDA :
mh
2026-07-28 20:15:15
1
senior eirrey backup :
maalika nlikua namuona nyumbani kwa kina family friends, infant nlikua nakaa nikiskiza akifanya nazoezi yake akiimba.💪💪
2026-07-29 02:14:15
1
Jowhari287 :
mahaba nipeleke UK 🥰
2026-07-28 19:57:15
1
🇰🇪 :
yuko hai
2026-07-28 04:34:45
2
H F :
Mashaallah mama asha abdow Yuko hai Bado na Allah amuhifadhii tulikua na yeye pale kakuma mwaga wa 1997
2026-07-28 23:03:44
1
H F :
https://vt.tiktok.com/ZS4Rn1EYC/
2026-07-28 23:14:24
1
dogoo :
died
2026-07-28 18:36:28
1
halimaswaleh861 :
nyimbo ya marehemu nyanyangu
2026-07-28 19:20:59
1
binti_safi :
daah
2026-07-28 17:56:35
1
jamilahmsemo🥰🦋 :
masha allah
2026-07-28 17:09:19
2
adorable 123 :
nyimbo zake zote nzuri
2026-07-28 18:40:10
2
To see more videos from user @twosilvermoon, please go to the Tikwm
homepage.