lakini ata nyinyi mnaona omwami mavazi yamemkubali...🥰
2026-07-31 05:56:35
10
Emmanuel wekesa :
ewe Mungu Muumba mbingu na dunia ,twakuomba utupee huyu ndie tunaemtaka awe kiongozi na rais wetu.tusamehe makosa yetu na utuondolee ile punishment tuko nayo sai🙏🙏🙏
2026-07-28 03:56:29
9
Born of hope :
Mungu tujibu Kwa hili🙏🙏
2026-07-27 19:42:03
15
MC MMOJA :
Mungu siku zote 🙏
2026-07-28 17:28:46
4
BTC Enterprise :
Mungu na iwe 2027, ni huyu si mwingine😥🙏🙏
2026-07-29 19:29:12
6
Ishmael Kipsibo :
Mungu sikia kilio ya wakenya
2026-09-15 07:17:34
3
Alicia collections 0729332067 :
Aiiii huyu ni Nani anafanya nikunywe chai na furaha hivi
2026-07-29 12:08:58
3
loicekoliann :
mm niko lodwar,mkiapisha huyu mm ndakuja nairobi
2026-07-29 15:35:32
2
bremal :
uyu Mungu ametupea
2026-08-07 19:16:33
2
Empress💖💖 :
sisi wengine tumekejeliwa sanaaa.Mungu skia kilio chetu sisi kama wananchii kwa ujumla...aiiii
2026-07-29 06:52:34
3
Richie254 :
mwenye amepost hii mungu akubariki
2026-08-01 20:10:03
2
Phylis Kwoba. Mamake Sammidoh :
God hear our heart and prayers. Na iwe hivo in Jesus name
2026-08-06 07:25:50
2
Dalphine Wekesa :
Naeza furahia hiyo siku aki😭🥰🥰😂🥰
2026-08-30 12:12:44
2
Faith Nana :
name of the song pls
2026-07-30 16:35:02
2
To see more videos from user @daily_signal_, please go to the Tikwm
homepage.