@kayogera7: Namna ya kutumia (kama njia ya asili ya kutuliza miguu): ✅ Chukua majani mabichi ya cloves na uyaoshe vizuri kwa maji safi. ✅ Chemsha majani kwenye maji kwa dakika 10–15. ✅ Acha yapoe hadi yawe ya uvuguvugu. ✅ Chuja maji na uyaweke kwenye beseni. ✅ Loweka miguu yako kwa dakika 15–20. ✅ Rudia mara 2–3 kwa wiki ikiwa hayakusababishii muwasho au mzio. ⚠️ Kumbuka: Ikiwa una 📞 Kwa ushauri na maelekezo zaidi, wasiliana nami: 0792078806 🌿 Utajiri wa kwanza ni Afya Yako Mwenyewe. #AfyaYaMiguu #TibaAsili #Karafuu #AfyaKwanza #UstawiWaMwili