nilikua nasolve kinoma hizi mambo now n afisa ubashiri 🤣🤣🤣☺️
2026-07-28 19:14:20
8
Bm4 :
mdogo wangu sayansi unayopewa shuleni ni sayansi kivuli mtaani haikusaidii chochote bora ungebobea kwenye ufundi wa magari au pikipiki utakusaidia kwenye maisha
2026-07-28 16:18:07
5
Xebballoc :
🔥🔥🔥
2026-07-27 19:50:55
9
Dude :
gosho ninja alikuwa anatupiga🤣🤣🤣
2026-07-29 14:05:37
0
Japheth Joseph :
mbn hicho kitu cha kawaida tafuten vya kutengenez content saiv watu weng wamesom hayo mamb wanaelew vzur hayo ya presure
2026-07-28 04:16:39
1
PANDA LMP :
Coca-Cola Company typing…..
2026-07-28 05:55:32
4
Emma :
tumwambie au tumwache kwanza 😆😆
2026-07-28 10:24:33
3
Simbaa 006 🇰🇪 :
kwaiyo hii Tz n kitu ya ajabu sana😂
2026-07-30 05:42:30
1
Abdul Matata :
Huku atakutana na pressure ya maisha🤣🤣
2026-07-28 08:34:43
4
ramaachande :
sasa hivi mkataba ni miezi 16 mpaka 18
2026-07-28 12:22:17
5
BADIL :
pressure ya mtaaan inakusubiri kijana
2026-07-29 06:03:50
1
Machezo :
physics-based
2026-07-28 05:23:07
2
Allan Sanga :
tukutane kweny bodaboda mwaka ujao 😁😁😁
2026-07-27 23:31:59
1
tecrahhansi :
tukune dukani winga
2026-07-30 14:15:49
0
makojozi☠️🤟☠️ :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu.
2026-07-30 16:06:00
0
To see more videos from user @ubeparicompany, please go to the Tikwm
homepage.