kama nimeuziwa chombo Cha moto na kampuni ya ujenzi je?
2026-07-27 18:56:54
1
FAKH :
Mtu binafsi ambae ameamua kuuza gari yake anatoa wapi EFD receipt?
2026-07-27 16:37:17
0
Hassibra :
@Hassibra: Nimemuuzia, tumeenda kwa mwanasheria, tumepata mkataba, efd, nimempa kadi ya gari na document zote, nimempa copy ya nida yangu akababadli umiliki tra, sasa mimi nahangaika nini?😏
2026-07-27 23:11:56
0
Mr. Black Dennis :
Asante kwa ufafanuzi. Naomba kuuliza, nilinunua chombo cha moto nikasajili jina la kampuni. Sasa nataka kubadili usajili uwe wa mtu biinafsi sio kampuni. Nafanyaje hapo? Naomba msaada wa kisheria.
2026-07-27 21:44:53
0
Willy Julius :
mwanasheria pesa muhuri wowowote
2026-07-27 19:49:16
0
Official_J4 4 :
kama muuzaji yupo VAT yeye ndio anapaswa kutoa risiti ya EFD na sio mwanasheria katika verification
2026-07-27 19:56:04
0
Choosen-plaque :
Shukran sana🥰🥰
2026-07-27 16:21:46
0
Drive Shaft :
kama niliemuizia tulisha potezana hatina mawasiliano lakini chombo bado kinasoma jina langu nafanyaje?
2026-07-27 17:26:19
0
Willy Julius :
gari zenyewe izi izi bhana
2026-07-27 19:48:20
0
AbuuHussein :
Kama umenunua kwenye company?
2026-07-27 18:54:47
0
To see more videos from user @promentaconsultancy, please go to the Tikwm
homepage.