@faraja.health.car: Haya ni matunda ya Mulberry (Mfurusadi). Yana nyuzinyuzi, vitamini C, vitamini K na antioxidants ambazo zinaweza kusaidia afya ya mwili. Kwa watu wenye changamoto za tumbo, nyuzinyuzi zinaweza kusaidia mmeng'enyo wa chakula 💬 Je, wewe uliwahi kula matunda haya? Andika kwenye comments. NENO AFYA #vailo #trending ##tiktoktanzania #viralvideo #afya