@.sam_tz: jaman bongo 🤣🤣🤣🤣#tanzaniatiktok #tiktokviral #slkhan_tz

SAM KHAN ⛎
SAM KHAN ⛎
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 27 July 2026 16:31:01 GMT
69844
8027
410
286

Music

Download

Comments

digital.creative98
𝕀ℙ𝕄 🌐 :
imejin ndo nn😂😂
2026-07-27 16:43:43
102
user271462493787
Rosealfredy :
😁😁😁😁😁😁😁😁 yuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
2026-07-30 06:19:19
0
chef.hyune
chef Hyune♉️ :
imejini
2026-07-27 20:17:54
35
user426022915602
malikia wa morogolo :
minahama na dekio unasema kamba🤣😂
2026-07-28 08:57:49
32
_82851
🅴🅼🅼🅰_🆃🆉 🇹🇿 🔥 🪴☘️🌿🌱 :
10/10
2026-07-27 16:34:06
2
rastajerry1
Rasta Jerry :
90/90
2026-07-28 19:59:52
1
user63283956681821
Emmy love :
ni mimi hapa lkn si nilinunua kwa pesa yangu lkn
2026-07-28 11:22:13
7
shija.peter
Tommy :
kweli tutachelewa kufanikiwa kama English yenyewe ndo imejini
2026-07-28 08:40:41
17
rey.mdigo
rey mdigo💯 :
😂😂😂😂duh nling'oa hadi mipilipili yangu😂
2026-07-28 08:37:32
3
acram.izack4
Acram Izack :
10/10
2026-07-28 13:43:43
1
pdidy31mikazo115
P DIDY 31 MIKAZO :
10/10 nalip
2026-07-27 20:05:45
3
user3317025396903
Asma honey🍯 :
mim nilibeba na taka nilizofagia chumban kwangu😂😂😂 nikijiambia nahama na rizki zangu😂😂
2026-07-28 11:42:06
2
zainababdallah591
ZB official :
siyo kuwendely tu had kujuw kingeleza Kaz mambo yenye imejin
2026-07-27 20:49:58
7
user2046375367823
queen :
kweli nimekaa iyo nyumba jamani
2026-07-27 18:21:04
5
rukia5544
Lucy💞 :
mm uyoo🤣🤣ulijuaje
2026-07-27 17:07:57
5
swabri67
🫆 :
imejin tena😁
2026-07-27 20:13:39
0
annieerasmus1
annie :
mi kipind nasoma chuo kulikuwa natabia ukivua viatu vyako vya kushindia pale mlangon yaan ukiingia ndan tu unakuta hamna wamevaa wameenda kuzulula nazo ad sokon halafu wewe uchukue viatu vyako vya mtoko ndo uendee choon..siku moja nilifunga na kufuli hivo viaty vyangu nikaacha hapo mlangon nikaingia ndan nikaskia tu nje wanaitana wanacheka😅😅toka siku hiyo kila mtu alivaa kilicho chake...😂😂😂
2026-07-27 17:57:42
7
234hilary7
Mahiil :
Mimi nahama na mswaki😂😂
2026-07-28 06:58:53
1
user9056625725021
mauwa :
kbsaaa kaka angu
2026-07-28 07:01:49
2
azizahaslan
azizahaslan❤️ :
so kamba mpk ndala za choon nchukua 🤣🤣🤣
2026-07-27 19:51:23
1
leu39268
leu :
Imejin huyu nimimi kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-28 06:08:26
2
nasma.malki
NAAH :
Njoo taratibu mwenetu🤣🤣kamba yangu nimei,penda, sana 🤣
2026-07-27 20:35:31
4
latifa_rashidi
mamy laty :
me mwenyewe nikiama kamba yangu nachukuwa nikifika tu naifunga
2026-07-27 21:25:17
2
hk7_jr
Henrique Jr :
jaman tusome Hali sio nzuri 😳😅
2026-07-27 18:56:29
3
To see more videos from user @.sam_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About