binadam sisi wabaua sana kuliko kiumbe chochote apa dunian. Sasa wewe unapata nini kwakumsemea mabaya binadam mwenzio🥲🥲
2026-07-27 20:14:22
3
hatyboy :
sio kweli acheni uongo jaman
2026-07-27 22:26:57
1
Anitta she :
Ila jmn kweli et
2026-07-27 18:31:52
3
Steve/og :
ndo maan bongo hatuendelei
2026-07-28 01:53:06
0
Zyrox TZ :
unatuamikisha kk nizakweli kk
2026-07-27 17:24:20
1
mi sipo🤔 :
ndio maana me si mfagiliii
2026-07-27 19:03:49
1
Asef :
sema unaongea kwa ushahidi broh dah
2026-07-27 19:11:08
2
Messi Jr.10 ⚽ :
Messi Akiwa na miaka 17, alicheza mechi yake ya kwanza na timu kuu ya Barcelona na polepole akawa mchezaji muhimu sana. Tangu hapo akashinda mataji mengi, akavunja rekodi nyingi za magoli, na akawa moja wa wanasoka bora kabisa duniani katika historia.
2026-07-27 20:04:43
2
jason lewa :
izo tuhuma ni hatari huyo si diamond ambae mmezoea kumsema Messi ni brand kubwa ukishtakiwa utaweza kulipa faini kwa kumchafulia status yake?
2026-07-27 21:34:16
3
Wiz :
Ai
2026-07-27 21:49:40
0
bob :
kaka kaka
2026-07-27 22:07:05
0
👑🪐MT☢T☢🚀T@k£0FF💦☄ :
uongo siupend
2026-07-27 20:50:10
0
✨... T,E,X,A,S , 🔥32✨.... :
acha kualibu brand za watu
2026-07-27 21:02:09
0
chicha.dressmaker1 :
2026-07-27 20:59:52
0
Legend :
Ndo maana simkubal
2026-07-27 21:10:01
0
Great C :
ni AI niamini mm
2026-07-27 21:13:57
0
Sheri Maika :
hhhh mby sana
2026-07-27 17:36:31
0
To see more videos from user @csamgabo, please go to the Tikwm
homepage.