@youngactivist254: "Hii ilikuwa moja ya moments ngumu zaidi kwa Ruto#KenyaTikTok #KOT #KenyanPolitics #TrendingKenya #Ruto

Young activist
Young activist
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 27 July 2026 17:17:57 GMT
340627
27362
1828
887

Music

Download

Comments

sonxisonxu
sonxin :
huruma nn msee ruto must GO! msee
2026-09-12 05:51:35
0
user481280860028
teebesh :
mm sipendi mtu kuchukiya ruto kuniliko
2026-07-27 19:29:43
1638
user32463940700236
gracegreys :
shida zake zilianza after kufukuza gachagua
2026-07-27 18:46:31
928
carlos.ythaka
Carlos Ythaka :
tulisema huruma ni estate msee
2026-07-27 23:13:52
1914
userjc005
Jc leez :
huyu MTU si Wa kuonea huruma , wakati anaua vijana Na hataki kusikia wakenya
2026-07-28 05:20:08
672
vankado
vankado :
hiyo huruma ndo ilituletea hizi shida zote
2026-07-27 22:27:26
321
cocolym
lymo💞 :
It's this sympathy that made some of us make the wrong decision by voting him in back in 2022. This time round, hatumtambui akwendee!!..WANTAM
2026-07-28 06:02:13
181
_paau123
Paau :
Ama tumsamehe tu majamaa😂 Honestly we are grilling him too much
2026-07-27 21:27:54
20
kendigan93
5️⃣2️⃣3️⃣9️⃣9️⃣3️⃣1️⃣9️⃣👟🥊 :
no simpathy
2026-09-10 10:59:28
3
br_te52
BR$TE :
Term ni mbili, 2032 Mudavadi, 2042 turudishie George Ruto..
2026-07-28 07:42:13
5
rosemarywairimu27
Nimroz :
Advisers are failing..Just resign or don’t vie
2026-07-28 06:24:01
49
maryoshkosh
Oshkosh💞 :
Hapa nimemhurumia but nikumbuka kina Albert,the mask guy.... hasira inapanda 😭☝️
2026-07-28 06:21:29
85
judysaisa
j&j :
akisema tushootiwe alikua na huruma???!
2026-07-28 17:09:18
83
trippymartin666
triipp.ymaina :
yeye anatuhurumia😂😂😂
2026-07-28 06:03:57
8
rayrae254
️ :
Hii inaeza kuwa strategy yake ndio tumuonee huruma. Huruma ni Estate, #RutoMustGo #SisiNiSifuna
2026-07-28 05:54:26
38
k_uria22
Kuria 💃🥰 :
akiua watu uwa akiwahurumia,na mambo bado
2026-07-28 04:35:35
12
user7361944791696
felix :
na liwe funzo kwa wanaokuja,
2026-07-27 19:18:12
70
georgeomondi871
omosh 3:16 :
makosa isifanyike hapa huyu jamaa a harudi 2027
2026-08-01 13:02:04
6
timothy.nderitu5
TIMOTHY NDERITU :
Huruma estate
2026-07-28 05:55:07
5
user5881034386668
Tee :
unamhurumia na ametutesa
2026-07-27 18:23:15
16
victormakau125
Victor Makau 🫣😜✌️ :
we karibu unichanganye nianze kuskia huruma nikikumbuka 2024 🥶🎚️
2026-07-30 18:10:10
17
jimmysmart_
Jimmy Smart :
he almost Cried 😥😥😥
2026-07-27 19:09:00
91
evekelly373
evekelly37 :
ata angetudanganya the first five years afanye job poa angerudi but first year akaonesha kiburi
2026-07-28 01:23:35
129
imman4194
Imman Sirah :
ati huruma, kwani ni lazima akua prezo😳 that guy is rich
2026-07-28 03:42:24
44
To see more videos from user @youngactivist254, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About