@eva_kasabila: Mayonnaise ya nyumbani, laini na tamu kabisa! 🤍🥚 Viungo: • Mayai 4 • Vinegar • Mafuta ya kupikia • Pilipili manga Jaribu kuitengeneza nyumbani, ni rahisi na tamu sana! 😋
eva_Kasabila_ugc
Region: TZ
Monday 27 July 2026 17:34:56 GMT
Music
Download
Comments
pretty :
yaan sijawahi kuipenda hiyo kitu
2026-07-28 09:51:56
28
dianakiwango :
bora situmiag mayonnaise 😆
2026-07-28 18:00:34
0
Jesca Damian :
mayai umechemusha
2026-07-28 10:44:20
8
Christina Mziray :
mayai mabichi au yakukamga jamani
2026-07-28 14:06:31
3
Ramsahmamy :
Kuna w2 watauliza mayai yamechemswa?😂😂😂😂
2026-07-28 20:16:44
0
emmie.mussa6 :
Kumbe mayonise ni mayai😳
2026-07-28 07:28:04
4
Ashbar Henna🌸 :
Chumvi au sukari haviwekwi?
2026-07-28 06:29:46
2
lisamaeda2 :
tofauti na vinegar unaweza weka nn?
2026-07-28 16:06:10
1
r🤫🤫🤫 :
me nasikiaga ina shombo kali ilinishinda
2026-07-28 09:51:15
2
Crista John :
mbona haujaweka chumvi kidogo
2026-07-28 09:21:19
0
cazzy💦 :
ukiitengeneza inakaa mda gani mpaka kuharibika
2026-07-28 09:48:10
1
apronealmadosa :
hi
2026-07-28 17:53:58
0
💦🥰mommy's fav🤞🫶 :
😆😆iyo nayo siwezi
2026-07-28 17:57:34
0
salimakarimikithi :
Mimi usema ni maziwa 😂😂
2026-07-28 18:21:39
0
🦋itc_mimi💜 :
Utakuja kununuwa www sasa
2026-07-28 12:21:40
0
Neema Mbala :
Inakaa kwa mda gani bila kualibika
2026-07-28 16:42:06
0
binti & kiseo :
ya nin sas yanachefua tuu😁😏
2026-07-28 11:42:21
1
Christina Mziray :
kuwa mtaarbu
2026-07-28 15:37:30
0
💦Samira💘 :
khaaaaa ni ubaili uwo
2026-07-28 16:08:58
0
lolomaa :
mbona kama kiin hakipo
2026-07-28 21:19:24
0
HOITERESPER 😍🥰 :
🥰🥰🥰
2026-07-28 04:19:41
0
To see more videos from user @eva_kasabila, please go to the Tikwm
homepage.