@faraja_yangu_tv: El Ghazzal Team Dunia.......Qaswida Swahiba Karibu kusikiliza Qaswida ya kwanza kutoka kwa vijana wa Magomeni El ghazzal Team dunia wakikaa na Safina zanzibar(kipwida) *Kama huna Latest Updates ya App ya Faraja Yangu tv huwezi kuipata burudani hii* Tazama kwenye Faraja Yangu TV: https://farajayangutv.co.tz/video/3aef2dd7-387c-4b89-b528-ba66243c2f8e #creatorsearchinsights #preparingmychildforbullying

Faraja yangu tv
Faraja yangu tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 27 July 2026 18:07:22 GMT
11528
1113
71
26

Music

Download

Comments

abdul.uchebe
abdul uchebe :
tusemeni ukweli bana safina zanzibar amechkua ushindi zanzibar 1
2026-07-28 05:28:45
6
sleiman.mihala
sleiman mihala :
broo naiitaka hii qaswida
2026-07-27 22:58:11
1
young.chopa.khan
young chopa khan :
team dunia
2026-07-28 04:26:53
2
batulqfsncj
sumayya :
Me nataka kuona live lin tena nije
2026-07-31 05:20:34
1
healthxperience
healthxperience :
Haya yanafanyikaga wapi jamanij tujage
2026-08-01 21:21:43
0
alsinamobille675
Alsina Mobille❤️✅ :
Iddy🙌
2026-07-28 07:53:45
0
maulidiiiii0783
07831511 :
ujui moyoni umeniasri vipi wew siendi pekeyangu naenda na wew
2026-07-29 12:40:23
2
fatmaabdu39
fatmaabdu :
jaman mmenikumbusha mbal mbk nimelia
2026-08-01 04:49:21
0
harounally12
Runna Icon Jr :
Mpembaaa chaliiii
2026-07-28 06:18:27
1
user5018182833984
mbwex hara :
tim dunia
2026-07-27 22:37:16
0
allykhamis811
ally fundi :
vittaaaa
2026-07-27 18:46:04
0
zakat.hussein6
Zakat Hussein :
mashaalaa
2026-08-03 04:40:33
0
hajitahamakame
Bin Taha Aljunayd :
mcheni allah
2026-07-30 07:10:54
0
maulidiiiii0783
07831511 :
nilichogunduwa ap upizni mshindi ajulikan
2026-07-29 12:42:50
1
ibt.daiya
IBT DAIYA 🇹🇿 :
Wale Safina Mnauhakika wanatokea Zanzibar kwely wanabonda dufu utafkir wanatokea mbagala
2026-07-27 21:53:58
6
suliman.hamad388
Suliman Hamad :
mwalim kati ya safina na ghazal nani kapigwa
2026-07-31 13:51:49
1
user10634308586
mpemba :
kuanzia sasa tuna mfuta jina sio bingwa wa dunia nikibonye wa safina ndy timu dunia tusha mvua mkanda wa ubingwa 🤣🤣🤣🤣
2026-07-28 17:46:19
0
shaibu.bankagmail
Shaibu [email protected] :
wazanzibar hawaamini kilichowakuta😂😂😂😂😂 maagano
2026-07-27 21:49:08
2
boyka40742
boyka :
mim nataka kujua huyo safina kamshinda ghazal kwenye kipengele kipi? mana kwenye utunzi jamaa hana mpinzani na mnalijua hilo kwenye tune ndo kabisa ghazal ndo baba yao kwenye yuri mim sio mshabiki sana nakuachieni nyie! na kabla mtu hajanipinga anitajie aniletee jamvi kubwa alilo kaa huyo safina kwanza zaid ya hili?
2026-07-30 12:57:01
1
mtegaclassic
Mtega_Grapher📷 :
🔥🔥🔥🙌
2026-07-28 10:42:20
0
To see more videos from user @faraja_yangu_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About