@jugo_media: NASIKIA YESU WANIITA - Traditional | Ukiimbwa na Mwl. John Maja. . . Misa Takatifu Dominika ya 17 Mwaka A wa Kanisa & Ufunguzi wa Semina ya Viongozi wa WAWATA Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam | Parokia ya Kristo Mfalme Tabata. : : #jugomedia #injilikiganjanimwako #jugomedialive @jugo_media www.jugomedia.net

JUGO MEDIA NETWORK
JUGO MEDIA NETWORK
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 27 July 2026 18:08:54 GMT
17734
1595
34
37

Music

Download

Comments

user77103584125026
Paul Walker :
hongera mwalimu
2026-07-27 21:50:30
1
belabela.kimaro
belabela kimaro :
Usiinikumbushe jamani baba yangu alitwqliwa wakaimba hiiii nyimbo unanilizaga huuu wimbo acha tuuu
2026-07-28 05:43:45
5
phely_13
pretty phely ✨ :
jina la wimbo please
2026-07-28 10:25:02
1
berry71383
Berry :
umenikumbusha babangu 😭😭😭
2026-07-28 11:24:54
3
robert.moshi4
Robert Moshi :
Sheria yako tamu nzuri waweza nani kufuata Yesu wataka nikupendee nifumbue wangu moyo
2026-07-28 12:06:02
2
jkd685
JESUS STORE ME :
RIp Babu uliimba wimbo huu hddi siku ya mwisho ulipokuwa hospita
2026-07-28 07:00:18
1
totoo0293
totoo :
hongera sanaaaa mwalim nyimbo zako hujawah kukosea
2026-07-28 07:21:24
1
kelvinmathew785
Ng'eleshi :
John maja alikuja dodoma parokea ya Mt.gaspari del bufalo toka hapo namfuatilia YouTube kila mara 🫡🫡
2026-07-27 18:55:38
2
tanga.boy72
tanga boy :
mzee yuko vizur🙏🙏🙏
2026-07-27 18:26:22
2
neemabuberwa
Neema Ayo :
Naupenda Sanaa
2026-07-28 16:46:56
0
babeticah
Lustica💙🤍 :
weeeeeeeeee jmn huu wimbo acha tuuu kuna kahsia unakipata🥰🥰🤗 wimbo mtamu sana🙏
2026-07-28 13:31:00
1
reginaathuman6
Reginaa Thuman :
Ahsante sana
2026-07-28 15:15:12
1
mkatoliki37
Mkatoliki :
jamani nyimbo za zamni zur sana ndo tulikua tukiimba sio Sasa hivi mie hata sielewi
2026-07-28 11:23:53
1
auleliamakombe665
Aulelia Makombe665 :
Nyimbo yangu pendwa
2026-07-28 07:51:30
1
alfredina.kokwang
Alfredina Kokwangua :
🙏🙏 amina
2026-07-28 13:13:23
1
realpatiedo_17
patiedo 17 :
kumuimbia SIR GOD raha sana
2026-07-28 14:23:05
1
white_international01
White_international :
kuna nyimbo ukisikia kama Una matatizo unaweza lia hatari
2026-07-28 11:07:15
1
ngowijr679
Ngowi Jr :
barikiwa
2026-07-27 22:41:54
1
mama.g9894
Mama G :
Waimbaj muwe mnatuimbia hiz nyimbo kanisan🙏🙏
2026-07-28 17:55:17
0
getrudagambo
getrudagambo :
uko vizuri mwl
2026-07-27 20:45:56
1
edger.wiliam
Edger Wiliam :
amina
2026-07-28 10:33:05
1
paulojackson3435
Tiago :
🙏🙏🙏
2026-07-27 18:25:07
1
pdmmn
Paul M :
❤️❤️❤️
2026-07-27 21:41:59
2
mariethaam
Mariethaam :
🥰🙏🙏
2026-07-28 10:38:33
1
annafrank56
Anna Frank :
🙏🙏🙏
2026-07-28 12:41:29
1
To see more videos from user @jugo_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About