@focustvtz: Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amewaongoza watumishi wapya 217 waliopata ajira hivi karibuni katika taasisi 15 tofauti za serikali mkoani Iringa, kwenye mafunzo maalum ya kuwajengea uwezo yenye lengo la kuongeza ufanisi, nidhamu, uadilifu na uzalendo katika utumishi wa umma. Miongoni mwa Taasisi zilizopokea waajiriwa wapya mkoani Iringa ni pamoja na TRA, TANROADS, TARURA, Chuo Kikuu - MUCE, Zimamoto, na waajiriwa wengine wa kada ya Afya na Sheria. #FocusTVTanzania

Focus TV Tanzania
Focus TV Tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 27 July 2026 18:21:56 GMT
4065
156
4
4

Music

Download

Comments

user23285417994718
MKWAVINYIKA :
kiukweli mkoa wa Iringa umejaaliwa kupata mkuu wa mkoa stahiki mwenye hadhi ya ukuu wa mkoa, nimpe bishara njema tu atafika mbali sana kwa uadilifu na utu wake, kwani nakufananisha na wema walopita kwa utumishi wa ummah. Allãh akupe nafasi za juu na bora zaidi kwani kwa uadilifu huo unastahili si kuwatumikia wandering tu bali watanzania kwa ujumla.
2026-07-27 21:39:34
0
mufwimi
mufwimi :
Balikiwa sana mh mkuu WA Mkoa wa iringa tunakupenda mno!! hakika wewe tulipewa na mungu uwe mkuu wetu wa Mkoa🙏🙏🙏🙏
2026-07-27 21:06:41
0
user91548768168422
Kc Mgaya :
hakika
2026-07-27 19:18:38
0
zabron123
zabronyusuph :
mwamba wetu wa iringa, nakupenda sana kwa moyo wa dhati mheshimiwa mkuu wetu wa mkoa wa Iringa
2026-07-27 19:19:28
0
To see more videos from user @focustvtz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About