@bloodfix6: Kiasi cha chakula, Aina ya Wanga, Na Namana unavyochanganya chakula hivi ndio vitu vya kuvizingatia usiogope kula ila zingatia vitu hivi vitatu #creatorsearchinsights #catdiabetes #BloodFiX #diabeticmeals #type2diabetestreatment
🩸BLOODFIX🩸📞+255616262274
Region: TZ
Monday 27 July 2026 18:35:53 GMT
Music
Download
Comments
Mona Maiko :
kama Nina over weight bado Nile wanga?
2026-08-08 09:46:47
0
raj :
loh ahsante sana na allah mtukufu akubariki sana dada yangu,
2026-08-04 09:36:56
1
Stanley_Muza :
dadangu kwa mama ntilie natoa ela yangu afu wali aniwekee kimkono ???
apana kwakwel
2026-08-08 19:06:16
0
rich rich :
Asante sana dada kwa somo zuri
2026-08-03 18:51:00
3
Mussaporoto :
sasa tule majana sasa kama kila kitu ni kibaya
2026-08-08 13:37:38
1
REY ♈️ :
dr janabi amesema ukivihifadhi kwenye frige wanga unapoza makali🥺
2026-08-08 12:35:18
1
ZFDC TV :
mnatusumbua tu, kila mtu doctor na kila mtu amesoma kwake, na kila mtu ana mafundisho yako. tumfate nani
2026-08-04 15:54:47
1
Yusuf Chiko :
shukurani barakllahufikum 🤲
2026-08-01 03:47:16
1
Aisha Joseph😍🥰 :
tuambieni tule nn?
2026-08-07 10:36:46
1
mj@double2 :
vyakula vya nyuzi nyuzi ndo aina gani?
2026-08-02 17:30:31
0
meamore 🐈⬛🩲 :
hivi type 1 na 2 niupi
2026-08-02 15:29:46
1
mr_baoma :
siachi wala mtam sana hakuna atakae ishi miaka Mia zama hizi mtume kasema umma wake tutaishi miaka isiozid 63
2026-08-05 07:50:30
1
kinyonga :
hapa nipo nakula chapati sita😅 nitaendelea siachi😂
2026-07-28 06:32:11
2
Ainesmgimbwa :
wale nini tule nini doctor
2026-07-28 05:37:13
0
M.Mayanga Ok :
nipe namba dr
2026-07-28 14:42:11
1
KAPETO :
vipi mikate ya brown
2026-07-28 07:21:31
1
Omar :
mungu tusaidie wallah
2026-07-28 17:35:01
0
meamore 🐈⬛🩲 :
napia ukila ikisoma 8au 10 je ni mbaya
2026-08-02 15:30:55
1
Mpopo_Electronics :
umetisha hasa ulipotoa suluhidho
2026-07-28 11:56:56
1
nyar nyakach :
Asante kipenzi
2026-07-28 15:36:26
1
jessidiva :
Yani apa naangalia niko nakura chapati usiku huu
2026-08-03 17:55:01
1
gracemsungu :
Nimefurahi na Simo lako
2026-07-28 15:03:22
1
MOLLEL😎🐘🐘 :
Sasa tule Nini jamani
2026-08-05 20:16:05
0
mgarlusolomon :
maelekezo. yko yanaeleweka vzr sna dada
2026-07-28 18:58:51
1
To see more videos from user @bloodfix6, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.