@kayogera7: 🌿 UNASUMBULIWA NA UVIMBE KWENYE KIZAZI? USIPUUZE ISHARA ZA MWILI WAKO 🌿 Wanawake wengi hupitia changamoto kama: ✅ Maumivu makali wakati wa hedhi ✅ Hedhi nyingi au zisizo za kawaida ✅ Maumivu ya tumbo la chini ✅ Tumbo kujaa au kuhisi uzito sehemu ya kizazi ✅ Changamoto za kupata ujauzito Afya ya mwanamke ni hazina kubwa ❤️. Hatua ya kwanza ni kupata ushauri sahihi, kufahamu chanzo cha tatizo na kuchukua hatua zinazofaa kulingana na hali yako. 🌱 Mabadiliko ya mtindo wa maisha, lishe bora na ushauri wa kitaalamu vinaweza kusaidia kuboresha afya ya mwili. 📌 Kama una dalili hizi na unahitaji ushauri kuhusu hatua sahihi za kuchukua, comment neno "AFYA" ili kupata maelekezo zaidi. 📞 0792078806 Utajiri wa kwanza ni Afya Yako Mwenyewe 💚 #AfyaYaMwanamke #UvimbeKwenyeKizazi #AfyaYaUzazi #WanawakeNaAfya #JaliAfyaYako

Kayogera
Kayogera
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 27 July 2026 18:45:17 GMT
3450
130
2
110

Music

Download

Comments

getrudaadolfu8
getruda adolfu :
ngoja nijaribu
2026-07-28 15:10:39
1
salma...12345678
user5114215456358chama Riri :
mayoma jee naomba tiba bila upasuaji mayoma na uvimbe ni vitu viwili tofauti
2026-07-28 15:01:58
0
To see more videos from user @kayogera7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About