mm niliapa Hadi nifikishe at least milion 10 Kwa kusave Hela Kila cku, nilipofikisha 5M, ghafla nikazama kwenye mahusiano, Sasa hivi Nina lake 4 tu
2026-07-27 20:23:15
25
Alfred Aloyce :
point 💪🫡🇹🇿🇿🇲
2026-07-28 06:26:24
0
bizoboy :
Mimi nimeji onea bila pesa mahusiano nima gumu sana saiv sipo kwenye mahusiano nnaishi naamani sana
2026-07-28 11:09:13
1
Gianna💜😉 :
single sena wiiiiii🤣😂
2026-07-27 20:39:56
1
aimlucky :
mi nataka sheria kila mtu aingie kwenye mahusiano walau ana m 10 na kiwanja ikiwezekana na nyumba ili mujue nafsi zenu zinataka nn
2026-07-28 03:38:42
19
Susan :
Very true 😆
2026-07-28 08:58:42
0
meshabui :
yn n kweli
2026-07-28 07:20:18
0
Unique :
Taarifa mwenyekiti
2026-07-28 11:06:43
2
Ms_fetty198 :
Huu ni ukweli kabisaaaa
2026-07-28 04:02:51
8
Mwafrica🇹🇿 :
hapo 5m+5m
pande zote mbilii boss uone wadada weng watakavotaabika uko🤣🤣🤣
2026-07-27 20:00:42
10
saibaba001 :
Mm napinga kaka, mm bnafsi ningependekeza watu ambao hawana hata million 1 bas waoe na mafanikio yatawafuata ninao ushahidi kama utahitajika kaka
2026-07-27 19:38:30
8
慶大霉素 :
sikuiz hatuweki hela kwenye account mkuu, hela zipo kwenye mzunguko ili kutuletea hela zingine na hela zingine tunazirudisha kwenye mzunguko, to infinity ♾️
2026-07-27 19:47:00
5
Jenitha Apparel🦋 :
Hili swala me nitalisimamia 😂
2026-07-28 08:12:22
1
Thunder :
Wengi watakua single walai
2026-07-27 19:03:09
8
Lightness Makuza :
Naunga mkono 📌📌📌📌
2026-07-28 08:00:18
2
Rogers_Daudi :
Upo sahihi sana
2026-07-28 02:41:26
1
SHONDE UMEME 💥🥷 :
Duuh hii imeniuma ni ukweli kbs
2026-07-28 08:26:41
1
Justus Charles 🇷🇼 :
wazo zuri kaka😂😂😂
2026-07-28 03:40:39
3
ISACK GWELELE :
kabisa
2026-07-27 19:36:39
2
Ms.BINNA_255🇹🇿 :
😂😂😂😂😂kwakweli mimi nilivyoanza kupata milion nilijitenga na mahisiano kabisaa acha nifikishe milion 10 tuone
2026-07-28 08:15:27
3
sirshijathegreat :
Ushauri mwingine unaweza kuwa kama sumu inayoua taratibu, kama haiuwi basi inakatisha tamaa... yaani mnauoa ushauri ambao ni kama mlima mkubwa, au ndo uhuru kuongea unachofikiri
2026-07-27 19:05:43
2
Flower Utulivu 💐♦️💚 :
Nimekosa mume🥺💔
2026-07-28 06:51:52
1
To see more videos from user @kelvinkibenje_, please go to the Tikwm
homepage.