@lishe_yamamanamtoto: Anakula papai lakini choo bado ni kigumu? 😣 Tatizo linaweza kuwa si papai—bali mlo mzima wa mtoto. Uji mzito, wanga mwingi na nyuzinyuzi chache vinaweza kufanya constipation iendelee. Tazama video mpaka mwisho ujue cha kubadilisha. #lisheyamtoto #watoto #malezi #mamaboy #afyayamtoto