@godson_mfugaji: mskilize mfugaji alie acha bihashara kariakoo jijini dsm na kuamua kuja kuwekeza songea kwenye ufugaji wa samaki na kilimo Cha kisasa Cha ndizi hii ni shamba to shamba kutoka kwetu godson mfugaji songea PART.....1 #ruvuma #songea #tanzaniantiktok🇹🇿 #samaki #creatorsearchinsights
Godson Mfugaji songea
Region: TZ
Monday 27 July 2026 20:30:08 GMT
Music
Download
Comments
genge_kienyejichicken :
Agricultural not for the Weak ♨️💥
2026-07-28 17:27:28
4
Abdu Mpagineki :
good job
2026-07-28 11:07:25
2
FROCKY :
sema nimefurah kusikia kumetajwa kwetu
2026-07-28 12:49:55
2
Manzabay :
Big up broo 💪
2026-07-29 13:23:58
1
nipher :
Wao hongera sana jmn
2026-07-28 10:47:27
2
Mh pokwe Rwambo :
vema sana natamani kujuwa bwabwa Lina ukubwa gani na unafuga samaki gani
2026-07-28 16:29:37
1
neemaluena✨ :
mlilayoyo home🙏🙏😍
2026-07-29 19:02:10
0
user5716302400399 :
big up brother kazi nzuri hakuna kurudi nyuma
2026-07-29 13:47:00
1
Joseph tonga :
Elewa neno nikatafuta HELA kidogo kidogo.
2026-07-28 17:05:16
5
MAGIDA HERBAL CARE :
my dream inshallah
2026-07-29 18:40:01
0
mike :
Hongera sana hiyo nimeipenda
2026-07-28 16:32:53
1
Johansen Ghanyb :
nimeipenda nitakutafuta unifundishe
2026-07-28 19:57:01
0
kifwani :
Tupatie namba tutembee hapo jamanii au mlilayoyo gani
2026-07-29 11:13:01
1
Daniel Sumbu :
nitakupata vipi kaka
2026-07-29 08:13:49
0
@uchumifresh.com :
hao bata hawali hao samaki🙏🙏
2026-07-28 19:24:11
0
FROCKY :
daah home boy mliayoyo
2026-07-28 12:47:31
2
MAGIDA HERBAL CARE :
hilo bwawa kulijenga niwe na sh ngap?
2026-07-29 18:40:22
0
DOA GROUP :
Kaka ardhi haipotezi maji hapo au baada ya mawe ulipiga concrete?
2026-07-30 13:37:07
0
JB :
Bata hawali samaki hapo bwawani?
2026-07-28 21:54:57
0
NgOnI Tz🌽🫶🏻 :
mwenzenu kaja na mtaji 😂😂😂hajakurupuka
ukiwa na mtaji tafuta elim Kisha implement mawazo Yako.
2026-07-30 17:47:54
0
chenjete :
Bata wa kawaida Hali samaki wale Mabukin wanakula.
2026-07-29 16:01:26
0
Mwanaharakat :
👍
2026-07-28 18:08:15
1
SHUTU ACROBATICS :
🔥🔥🔥💪
2026-07-28 18:52:44
0
Arsenal :
@Daester-Salon Mwanza
2026-08-02 14:27:54
0
To see more videos from user @godson_mfugaji, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.