huyo mwanasiasa nilikuwa namwamini sana ila baada ya kauli aliyoitoa kinyume na yule mbunge alivyosema nikasema huyu si mtu haswaa
2026-07-27 20:47:15
4
Gervas Weston :
Kwani hao wanaotajwa na CAG wamepigiwa kelele na naniiiii?
2026-07-28 10:45:25
2
zola 1234 :
Bro Freedom fighter hawanyoi ndevu sio kuwa hawana pesa ya nyembe za kunyolea that's a Message , rejea Manji alivyokuwa Ndani, rejea all freedom fighter walikuwa hawanyoi ndevu, halafu naona kama nadharia nyingi.
Hit the ground ndio reality ilipo bro
2026-07-27 21:02:11
1
gabion :
Mtabweka sana lkn watanzania sio wajinga tena
2026-07-28 07:58:33
1
Hanifa Urassa :
Hongera mtu wa Mungu simamia ukweli daima
2026-07-28 06:35:51
1
michael ndilola :
kuna muda nakuelewaga brother ila kuna muda sikuelewi kabisa kama leo umepuyanga sana
2026-07-28 03:58:53
2
kabuka1 :
Huwa sijakuelewa kabisa
2026-07-28 02:42:33
0
simba :
nakupenda sana komba ,ww ni mtoto wangu ,baba yako mzee captan alikuwa jamaa sana ,ile discovery nyekundu nilikuwa nampa mm spares zake yaani ww John komba og,ongera sana mwanangu
2026-07-28 04:35:49
0
Yussuone Pro :
Sio 80000 ni zaidi
2026-07-27 23:02:58
0
KAZI KIBOZI :
haaaa ndio wasomi wetu wa siku hizi bado ana mawazo ya akina arestote vyama vya siasa vina utaratibu wake wa kisheria na wa kikanuni unachekesha sana ndugu yangu
2026-07-28 09:36:23
0
Mbano Mrage :
Nakuelewa sana mkuu
2026-07-28 06:27:35
1
Kotapin master :
unaongeaga facts sana aseeee🇹🇿❤️🇹🇿
2026-07-28 07:07:44
1
John Ntandu36 :
mbona hiyo ndio tabia ya ccm
2026-07-30 06:07:21
0
@Ibnu Swaleh :
Uko sawa kiongoz.
2026-07-29 14:02:47
1
Renu Rito :
Kama mwasiasa anapokudanganya ila hawezi kukudanganya
2026-07-31 18:51:01
0
Dr. DK :
Umeongea vema sana kiongozi
2026-07-29 17:27:48
0
Dr. Zack 🇹🇿 :
Ahsante sana
2026-07-28 10:43:16
0
user3164192972722 :
HATUSAHAU...Samia Suluhu muuwaji.
2026-08-01 05:51:21
0
Kipai jr :
ushawafumua
2026-07-30 03:40:22
0
thabit ngangila :
alistote wa mitandaoni au?
2026-07-31 19:49:52
0
KJJ :
😏
2026-07-27 21:04:46
1
To see more videos from user @cpt_komba_jr, please go to the Tikwm
homepage.