hope elections za 2027 zihesabiwe live ka za olkalau😂😂😂😂
2026-07-28 05:19:08
27
Yobi :
hiyo ya ruto weka moja ni yye tu ndio atajipigia
2026-07-28 05:37:53
9
Dee kasmall🇩🇪🇰🇪🇺🇸 :
round hii box ni mbili Tu hatutaki line mingi siku ya kupiga kura
2026-07-27 23:34:59
14
mume wangu :
izo tatu ya mke wake na watoto wake
2026-07-28 07:58:13
1
wasikithi :
kupendwa na wengi haimanishi sifuna unaeza ungoza nchi igue u my president change madhibahu utoe sacrifice upate winning power 2027 ...tunakupenda sana bt remember comes from GOd sio watu wachague.
2026-07-28 05:29:52
3
To see more videos from user @mutalanathan254, please go to the Tikwm
homepage.