@binaupdates: Klabu ya Yanga imemtambulisha mshambuliaji wa zamani wa Mamelodi Sundowns Peter Shalulile, Peter Shalulile atua Yanga sc baada ya kumaliza mkataba wake ndani ya kikosi cha Mamelodi Sundowns msimu huu, Rasmi msimu ujao atavaa jezi ya Kijani na njano 💛💚
Bina Tv
Region: TZ
Monday 27 July 2026 20:43:35 GMT
Music
Download
Comments
Dycon :
eheeeeeeeee
2026-07-27 21:45:07
0
pino soft :
wameshtukaaaa
2026-07-27 21:16:27
3
Phili@12 :
yanga bingwa
2026-07-27 21:31:44
3
Maico Maico samwel :
yanga bingwa tena
2026-07-27 21:40:21
2
meechy69 :
Ndo yy buwana ahHaha
2026-07-27 23:08:24
0
kaznana :
Jamaaani jamaaani
2026-07-27 22:53:54
0
De colonated king!! :
kumekucha wananchiii oyeee🤣🤣
2026-07-27 22:11:54
1
mecky moneytz :
ivi yanga niwatu wangu awa?
2026-07-27 21:55:02
0
🇿🇲🇹🇿 :
Wamekwisha basiiiiii
2026-07-27 21:25:44
0
JAU JAU💩 :
Ai
2026-07-27 20:58:37
0
👑 KiBELLa oG :
AI
2026-07-27 21:50:37
0
malkia👑 mweusi🥰 :
aiiiiiiiiiiii💚💛
2026-07-27 21:25:37
0
Ahmed noor :
Shalulile ungemaluzia kusema yangabingwa
2026-07-27 23:08:51
0
R"E"D"O"X_BREAKER FANS :
Hersi hizi ni sifa sasa wasamehe kwa kujamba jangwani..😁
2026-07-27 21:57:48
0
Ndama store👑🇹🇿 :
Watajuta Kwann walienda kujamba jangwan
2026-07-27 21:53:40
1
NdaLlah💪 :
iv kweli yanga ni watu mungu awa?
2026-07-27 22:27:39
0
user8790003706874 :
mmmh huyo babu
2026-07-27 22:52:53
0
AZlZlk🇹🇿🇿🇦🇨🇩 :
😁😁😁
2026-07-27 21:31:25
1
To see more videos from user @binaupdates, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.