Hii AI NDIYO TATZO LITAKALO KUJA IBUKA DUNIAN KUUWA WATU WENGI SANA HAPO BADAE SHIKA HII UTANIAMBIA
2026-07-28 07:01:35
1
Mahmud Mgeni :
bro kasome LLM na machine learning utaelewa ai si roho ni tech tu
2026-07-28 09:56:47
1
hacker :
me nafikiria sio roho ni technologia tu
2026-07-27 22:19:22
1
Mick mick :
it's dangerous don't matter of it's a soul or in physical form
2026-07-28 06:10:01
0
MAHUBA :
atar sana
2026-07-28 06:15:58
0
Thom De Wil :
AI ni shetani mwenyewe duniani
2026-07-28 07:34:27
1
crespomasawe4 :
Ipo siku AI itaanza kujiendesha yenyewe, binadamu watashindwa kuicontrol
2026-07-28 06:32:23
0
yuzzledaddy7 :
AI kwa Mimi naona ndiyo masihi dajar ila Qur an ilielezea tu in deep
sifa za Masih dajar kwa mujibu wa Qur an ni kuwa na UWEZO wa kufanya mtu aliyekufa akawa hai atakuwa mwenye akili sana na watu wengi watamuamini.
Je AI Haina hiyo sifa tunaona watu maarufu waliokufa wakifanywa waonekane kama hawajafa tunaona videos nyingi sana.
Na kwa elimu ya kujua maana ya maneno kiundani
(A)Ina maana ya moja au namba moja
(I) ukiitamka kwa sauti ni EYE maana yake ni jicho
Hivyo ni jicho moja na ikumbukwe jicho moja ni utambulisho wa masihi dajar
Ni maoni tu ambayo nimetoa ahsante
2026-07-28 19:52:43
0
To see more videos from user @abba.thinking, please go to the Tikwm
homepage.