@tumaini_pr_tv: Tajiri namba moja duniani Elon Musk ametabiri kuwa hela haitakuwa na maana tena ifikapo mwaka 2036. Amesema hivyo katika mahojiano na The Economist. Musk alisema: "Hela haitakuwa na maana ifikapo 2036."' Alifafanua: "Unataka hela kwa ajili ya nini? Unataka hela kwa bidhaa na huduma, sivyo? Unataka hela hasa kwa chakula, nyumba, usafiri na burudani. Basi kama robots na Al zitatoa bidhaa na huduma nyingi kuliko binadamu yoyote anavyoweza kutumia, unahitaji hela kwa ajili ya nini?" #tumaini_pr_tv #tboyliontz #hapaninyumbanikwawote

Tumaini pr Tv
Tumaini pr Tv
Open In TikTok:
Region: CA
Monday 27 July 2026 22:31:44 GMT
23333
533
28
23

Music

Download

Comments

materu5666
X2 ONE :
Beast himself
2026-07-28 21:16:04
0
kelviuwx2rl
kelvin :
nasomatu comants
2026-07-28 14:26:03
0
lukabnchama
luka b nchama :
ufunuo 13 imeeleza kila kitu 😭😭😭 mda sii mlefu YESU KRISITO analud kulichukuwa kanisa 😭😭😭😭😭
2026-07-28 18:25:36
2
fanu4551
fanu🤗🤗 :
atajua yeye mwenyewe
2026-07-28 04:37:32
2
mtili869
mtili mtilis :
zitapotea kama vocha za kalatasi
2026-07-28 07:10:07
3
ibrahnation99
IBRAHNATION🇹🇿 :
huko mbali sana wayatoe hata sasahv2
2026-07-28 08:09:21
1
iddi.kihiyo5
iddi kihiyo :
hiyo ni dalili ya kiama pesa kutokuwa na thamani !
2026-07-28 17:06:15
1
j.cobra.com
Jcobra :
bora
2026-07-28 21:26:59
0
_six7.0
Six7 :
Kutakua na batter trade au sio?😂
2026-07-28 17:50:12
0
moudric.balton
Balton pabllon :
sawa, namimi natabili, tutatumi zahabu
2026-07-28 19:46:47
0
wox251
wox :
sio ametabiri ni itakuwa hivo na lazima iwe hivo
2026-07-28 16:16:58
0
donawiser
donawiser :
🤣 Azigawe pesa sasa .
2026-07-28 18:48:23
0
user28360760013448
msukuma mnywamaziwa :
yupo sahihi. njeuri ya marekani imetuchosha
2026-07-28 09:32:05
1
fred.keneth
Fred Keneth :
mmmm ngoja tuon
2026-07-28 19:46:25
0
san_keys26
san_keys26😇😇 :
ah sawa tu lwani kuna shido
2026-07-28 17:15:56
0
.m.m50271
Ďŏñ mēñđēž Māđōĺĺāĥ :
kwan wenye fedha wanasemaje?
2026-07-28 06:03:41
0
arishnyaronga
Arish .KJ :
apo aongee na wanaotumia pesa maana uku kwetu mtu mwenyepesa hakuna.
2026-07-28 13:19:22
0
fanu4551
fanu🤗🤗 :
atajua yeye
2026-07-28 04:37:10
0
elvisgare
Elvis gare :
au ndo ile 666 nilio kuzwa nikifundishwa nitakuwepo nasubili nione Kwa macho yangu mwenyewe MUNGU eh MUNGU nione ninavo kuita
2026-07-28 22:38:13
0
shukran.46
user1234577 :
kwa iyo yy kaacha kutafuta au.....
2026-07-28 06:01:00
0
majingeii0
veracity :
pole pole ulimwengu unaanza kuingizwa kwenye mifumo ya ajabu,aiseeee hapa ukiwazingua hawa jamaa wanakufilisi kila kitu kwa siku moja kupitia pesa za mtandaoni.😁😁😁 najua hii text yangu itadumu hadi 2036 mtashuhudia mengi mabadiiko.
2026-07-28 19:21:52
1
pevertz1
pever Tz1 :
TUBAIJUA IYO LENGO TUACHE JUTAFUTA AZID KUA NAZO YEYE
2026-07-28 11:57:02
1
thekid_fx
Thekid_fx :
ufunuo wa yohana, mpaka uwe na chapa ,666
2026-07-28 10:30:44
1
kinywele70
KINYWELE BABA B💥 :
hahah angalia maskini tulivyo furai kuskia ivyo
2026-07-28 19:52:58
0
g.matelephone
G.MATELEPHONE :
666 code maaana yake itaanza kutumika bila iyo auwezi kupata kitu
2026-07-28 19:54:09
0
To see more videos from user @tumaini_pr_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About