@sharifa.abdul05:

AMZURA JUICE AND ICE CREAM
AMZURA JUICE AND ICE CREAM
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 28 July 2026 00:11:34 GMT
27584
1202
133
108

Music

Download

Comments

lunar_whisper91
Agatha nkiwo :
asante sana dada unatufundisha hadi raha mungu azidi kukupa karama
2026-08-04 19:06:28
7
user9595238273767
JACKLINE :
unatumia mini kufungia sijaelewa kama ni Uzi au la
2026-08-10 19:35:55
2
momyof4only
blessings :
vp nikitumia zile juice cola ambazo Zina sukari tayari
2026-08-16 01:36:41
1
tausimugisha
Tausi Mugisha :
Nazidi kujifinza kwako mom soon namimi nitakua hodar kama weuw Insha'Allah
2026-08-16 17:07:51
1
lega.nyopu
Lega Nyopu :
huo ni unga gani
2026-07-29 12:34:33
1
user1456533103445
user1456533103445 :
Asante Mungu abariki kazi ya mokono yako❤️
2026-07-31 18:54:23
1
latipha532
latipha🇰🇪 :
amiin yaraab🙏 MUNGU akulinde sana
2026-07-30 20:05:44
1
user5443379246610
minashy :
naweza tumia unga wa ngano
2026-07-31 15:00:14
1
cwt_zuu
cwt_zuu :
Asante nimejifunza
2026-07-31 02:20:01
1
user7329272534438
lyossy :
kwanini flavour zote?
2026-07-29 14:28:45
1
kina8055
kina :
asante my umenifunza kitu
2026-07-28 10:37:20
1
user1156159619810
binti kisala :
munguakubaliki
2026-07-31 10:24:21
1
aishamzigo09gmail.com
aishamzigo :
napenda unawajibu watu vzr ubarikiwe kazi ya mikono yako hamatunda ulio tumia nimachungwa pekee au ?
2026-07-28 09:05:01
1
jackly.lenah.lenn
Jackly Lenah Lenny :
Una weka mango kwa unga wa muhoga Kama iko warm ama moto
2026-07-30 19:06:45
1
happyminja37
happyminja37 :
Mungu akubariki❤️❤️
2026-07-31 19:13:29
1
user4162827998153kai
Oprah Mwiza🥰❣️🥰 :
vipi huo unga wa mhogo unasikika ile harufu yake ?? na kama unasikika ile harufu ake Huwa unaweka nn kukata ile harufu??? Asante madam😊
2026-08-18 06:54:21
0
user6616595605472
user6616595605472 :
hapo kwenye kufunga sasa na kamba
2026-08-13 10:56:39
1
user7329272534438
lyossy :
nimependa njia unayotumia kufunga. Naweza kupata undani wake
2026-07-29 14:31:56
1
kihimathebrand8
@kihimathebrand :
Asante sana. Nimekua natsmani sana kujua namna ya kutengeza hizi ice...
2026-08-04 07:24:33
0
user1922020619402
tabby :
vinto ndio nini?
2026-07-28 09:00:54
1
aishabakili
Aisha Bakili 🥰❣ :
Mungu akubariki dada ,nimekupenda bure🥰
2026-07-31 18:20:09
1
user7329272534438
lyossy :
nataka kujifunza kutumia kamba. inawezekana
2026-07-29 14:58:19
1
user5443379246610
minashy :
ulvyo angalia camera nmeis kama tuko pamoja had nme kufollo🥰sante Kwa ujuzi
2026-07-31 14:59:08
1
wilhelminamswai
mina :
👌🥰 ubarikiwe sana dada
2026-07-29 05:18:28
1
user3537946220798
Koku :
asante sana,nataman kujua namna ya kufunga kutumia hicho kikamba
2026-07-28 06:22:29
1
To see more videos from user @sharifa.abdul05, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About