mm na mm nimechoka siwez uganga naoteshwa vitu vya ajabu ndoa imenishida mausiyano yamenishida moyo unahitaji mapezi nimechoka walah
2026-07-28 03:40:42
4
Miss issa :
Mimi sijapata ndoa nazeeka kwetu ata nimekata tamaa
2026-07-29 06:32:09
1
Mgeni J Mgeni :
Mh mahusiano yamesha nisumbua kweli lkn kuoa Mimi sitakubali nitaoa hata kwa Siri namficha mbali
2026-07-28 05:14:56
2
kida nux :
mimi saivi nishakua na watoto 2 na sina mke nishakaa miaka 2 bila mtu kwa sasa naona bora niwe na mtu mana nishajijua
2026-07-28 05:31:33
3
Angel Business woman :
Tunapenda kupendana wakati tuna kazi za kufanya 😂😂😂😂mapenzi siyo ishu zetu tufanye kazi kwaanza mahaba tutazidishiwa Yesu nisaidie nipige kazi yako
2026-07-28 09:05:38
1
Erca M😍 :
kuna muda daaaa ni Mungu tu atusaidie tushinde cz kuwa choose aaaah sio kazi ndogo jmn hasa hapo kwenye mahusiano😭
2026-07-28 11:08:15
1
Paulina Likiliwike :
Mahusiano sina rahaa
2026-07-28 05:20:45
2
tuni🍒🍒 :
Amen 🙏🙏🙏🙏
2026-07-29 14:11:21
0
rizikinzao :
Mama umenena,yote nayapitia wallai
2026-07-28 05:47:11
0
A.ma.j :
kwelikweli,uwa twateseka
2026-07-28 03:39:43
0
best Moneta :
natulia nimetulia
2026-07-28 03:40:07
0
Abdully Habibu711 :
mda unaenda sasa
2026-07-28 21:56:29
0
Ram freck :
asante mama nalo ni shida
2026-07-28 08:27:53
0
Divine_Products_Spot :
haha
2026-07-28 07:11:28
0
Golden Heart❤️ :
kwa sahivi sijuchukulii poa aisee nishajijua nitafata maelekezo Mungu anisaidie mana so tired
2026-07-28 07:53:58
0
H_B :
ni alama gani nikiwa nayo inatambulisha mimi ni choose one
2026-07-28 09:51:22
0
Vicky Dollar :
Nimekapitia😂😂😂walahi
2026-07-28 08:03:52
0
Grace Bee 🌸 :
Hallelujah hallelujah 🙌🏿🙌🏿🙌🏿 Asante sana Dada Ubarikiwe tuu sana na MUNGU
2026-07-28 08:28:20
0
Allu :
Jamani mapenzi kwa chosen one ni kipengele tulia tu kama yanakushida🤣🤣 yóooo hakuna rangi utaacha kuona.
2026-07-28 19:53:13
1
Mama boy :
unajitenganisha vipi
2026-07-29 16:01:41
0
Said Shaaban :
Walah nime pitia meng sna had nkawa Najiona kwn sna hadh yakupndwa nme kaa miaka ming toka kwnye balehe yangu had nakua sna time na WANAWAKE kabsa mna kila ninae mpata sitoboi lkn nime kuja kupta mchumba sjaa kaa nae mwez nika muoa kabsa ana nipnda mtt wawatu had nka jismea mbn miaka nyuma nlkua nakataliwa sna
2026-07-28 09:01:17
0
TBTMOVIE1🇹🇿 :
bila kupepesa macho aachane nayo tu.
2026-07-28 08:42:50
0
fety488 :
madamu angea yooote hapo kwenye upwilu mungu atuangalie tu ss alie tuchagua
2026-07-28 09:48:16
0
kipenz cha watu :
🙆♀️🙆♀️
2026-07-28 06:12:05
0
To see more videos from user @devotajs, please go to the Tikwm
homepage.