naona mtendaji ameshika maji ya kunywa kwenye chupa ya Pepsi au Pepsi wametoa maji
2026-07-28 10:39:08
8
Denice Balice :
bwana yes asifiwe
2026-07-28 06:06:09
3
erasoul :
kama watanzania , tunahitaji elimu kubwa sana ya umiliki wa Mali zetu, pia wawakilishi na viongozi wetu ni muhim kuwa na elimu yakutosha juu ya majukumu Yao ya kiofisi. Huenda huu mgogoro chanzo chake ni kutokuwa na mtiririko mzuri wa taarifa kati ya wasimamizi wa kata na upande wa wauzaji, still tunataka elimu watanzania 🔥🥰
2026-07-28 10:23:31
2
prince kigoma +255🇹🇿 :
sema jmn huyu kiongozi magoti anajuwa sana Shelia na yupo vizul kweny maswali 👏👏
2026-07-28 06:39:07
4
kivuluga :
wana kisarawe uyu muheshimiwa magoti musimchukie na wilaya zingine zinamtaka kiongozi kamauyu.na hapatkani kwaiyo atakama mh raisi akimpauwamisho musikubali uyokiongozi aondoke.itakuwa m mepoteza kiongozi bora zaidi,,,
2026-07-28 09:40:25
2
Hussein M Bongo :
Wenyekiti mnaniuzi
2026-07-28 15:17:20
0
katavi one :
mbona unambana mmoja tu
2026-07-28 06:38:08
2
Donald Jobson :
Mheshimiwa hao viongozi wa serikali za mitaa ndiyo huwa michezo yao
2026-07-28 10:29:40
0
Tibs :
hapa mtendaji napeleka mahakamani
2026-07-28 10:14:34
0
tajiri. mubishi🇹🇿 :
viongozi ndio chazo cha migogoro
2026-07-28 09:40:39
0
victormwangaya :
viongozi wa serikali za mitaa ndio chanzo kikuu cha migogoro ya ardhi Tanzania
2026-07-28 09:31:35
1
Mr_G_•°• :
tatizo lina anziaga kwenye ofisi ya kijiji. wanachukuliaga mambo kawaida , yana kama zamani. sasaivi mambo yamenadilika sana.
2026-07-28 11:58:44
0
CHIDY WA SMASH :
ata mm nitamwambia mtu auze shamba ni langu😂😂 bila ya nyaraka
2026-07-28 11:47:24
0
Eddy Yusuf :
kama tukiwa makini sasa ndo tutajua na kubaini migogoro mingi ya ardhi huanzia wapi.
2026-07-28 07:42:57
2
Aizaki Chipunda :
safi huu ndio utendaji mzuri wa uongozi kutatuwa migororo halaka sana basi baki mivutano
2026-07-28 07:21:25
1
Makamba john Makamba john :
njaa nautapeli
2026-07-28 06:28:08
2
STEVEN Mwita :
uko sahihi mura magoti
2026-07-28 06:40:01
1
Eng. Rosette L :
mwenyekiti wa mtaa anatakiwa kujua kusoma na kuandika au nimesahau
2026-07-28 15:21:25
0
mulastar255 :
DC Magoti mzee wa shoo wanyooshe hao wamekula pesa
2026-07-28 11:15:38
0
HERMANIJULIUSALFRED :
kumbe watu wafupi mnaakili muda mwingine
2026-07-28 16:52:39
0
부업구인 :
magoti oyeee minguakujalie kuwapa haki yao wananch
2026-07-28 16:46:31
0
mshamomari :
Mheshimiwa kapiga pamba kali
2026-07-28 14:00:51
0
kyoma _Brand_Nation :
viongozi wa chini awana elimu na wanao nunua pia awana elimu wananunua ardhi kama nyanya
2026-07-28 12:13:18
0
Mtu Mweusi Wedding official :
Nyakara
2026-07-28 06:14:17
0
To see more videos from user @godfreytheobard, please go to the Tikwm
homepage.