ila kweli ndo maan stak kuolewa labda nipate mwanaume mkristo ndo niolewe
2026-07-28 13:43:08
257
Pascal Sety :
kumbe kuna waislam wanaojua ukweli
2026-07-28 12:49:14
895
Winnie Amandi :
ndoa ya elf 6 kwel itadumuu😂😂😂
2026-07-28 19:07:45
288
Goldy_Gee🔶 :
My Favorite video today🥰
2026-07-28 17:33:59
1
yohana :
kwer kabs unachosema
2026-07-29 07:29:26
0
skuzaniidrissa :
mashaallah asante shehe wetu
2026-07-28 13:29:33
2
Mecles fire storm💥🌟✨ :
ww unaongea ukweli nakupenda sana
2026-07-28 09:32:12
363
pemasiboy ♥️ :
point 👉 my brother kama umeamini achia kopa♥️
2026-07-28 18:54:03
4
samwelmaina285 :
mimi ni mkristo wakisawasawa namfuatiliaji wa mambo haya yakidini hakika nakukubali sana kaka na ninakufuatilia kutoka Kenya Mungu akubariki sana
2026-07-28 10:19:57
108
jackney💞 :
Very true
2026-07-28 20:39:05
0
Eliza :
Bora wewe unasema ukweli.
sio wote wanaweza kusema ukweli.
Mungu akubari sana
2026-07-28 10:37:20
249
Lily's 💎💎 :
Walete kati Baba😂😂😂😂
2026-07-28 13:30:40
71
user7125269366310 :
kwa kuwa umesema ukweli bas nimeona nikufolow kabisa
2026-07-28 14:56:48
38
ZaituniAthuman :
njoo huku utupe mawaidha maana mpaka tunaichukia dini yetu Kwa kukosa haki wanawake tunaonekana hata Kwa allaah hatujulikani. wanatuona kama wanyama hatupati haki za kuishi
2026-07-29 04:57:02
18
den dzompa :
duh kwa mara ya kwanza shee kuongea ukweli
2026-07-29 03:21:56
8
kapastar :
uyu ndo mwislamu wa kweli💯💯
2026-07-28 14:43:59
12
Flooooreeeee mimi :
kwani uyu ndo shekhe walid au??
2026-07-28 14:25:50
113
Aposiano 01A :
Mnaonaje tupitishe kapu la kumchangia msema kweli
2026-07-28 16:15:30
10
MITHALI 3️⃣:5️⃣-6️⃣ :
Kwanini usiokoke🤗
Karibu Yesu analupenda.
2026-07-28 12:11:37
18
Simba Mweusi :
ukweli 100%
2026-07-28 09:55:10
13
SpongeBob :
Kuna watu wanahisi hii ni content, sikilizeni vizuri mafundisho shauri yenu.
Binafsi nimekuelewa vizuri Sheikh, Allah akuweke
2026-07-29 03:53:41
10
To see more videos from user @ustadhzaydibrahim, please go to the Tikwm
homepage.