Sijui alinionea wapi nimeingia nimekaa nishaanza settings naskia baree ya shingo kuangalia mokoro kidogo hivi ingine ya uso 😂😂😂 weuh
2026-07-28 12:35:29
21
Yob__.I :
Ps2 days 😂😂😂
2026-07-28 22:14:53
0
joyceminahkalush98 :
bro alichukua 30bob ya mathe bila kupewa akaenda kucheza ps then mathe akampata😂😂😂😂alipiganishwa na hizo vidude ady mwenyewe pamoja kulikua kubaya😂😂😂😂😂
2026-07-28 21:31:25
2
FARMAN ** :
Nishai enda na pesa ya kunyoa huko nikarudi hom nikasema ilianguka 😂😂
2026-07-28 12:07:46
8
Thanos :
Upigwe FIFA alafu mzazi bado anakugonja hapo nje😂😂😭
2026-07-28 19:20:09
2
Dual Chromosomes 🇰🇪 :
😂😂😂nilitumwa maziwa kitu 8pm hivi nikaingia hio base tukacheza hadi 9 lakini makarao ndio walitushika. yani kufupisha story mamangu alinikujia kama tuko ready kupandishwa Mariam😂 Nakuru London mamae
2026-07-28 21:34:04
1
Kannyjohn :
cjui mbna mimi ilikuwa mokoro akiingia video inakuwanga inakuwanga ya watu wako beach
Lakini Kama mzazi hajawai kupiga huko kwa play station manze huja grow poa 🤣🤣
2026-07-28 19:06:06
0
🇰🇪 👑DAMAGE🇶🇦 ♣️ :
Heri wewe ni mama mimi dad na mshipi😅
2026-07-28 10:57:06
1
_megamurega‼️ :
uzuri sikulipa hio game🤣👍
2026-07-28 19:41:17
0
RUFAS PLAYS :
mm baba yangu niliacha amebook gari akienda nakuru...ata sikua nmekaa chini😂😂😂...niliskia makofi kama elfu moja
2026-07-28 20:45:32
0
Midlight Technologies :
nilifukuziwa fees nikiwa form 2 so instead yaa kukaa kejani nilikuwa naenda base ya PS alafu nilikuwa nimeivisha mbaya so pale kwa loser pay nilikuwa mnoma , so nikitoka asubui narudi majioni , Huyo mama aliniokota war moja game pad niliguza after highschool 😂
2026-07-28 20:52:49
0
T¥ :
mii aligoja nimalize kupigwa😂
2026-07-28 18:52:21
0
To see more videos from user @gameit45, please go to the Tikwm
homepage.