umenikumbusha siku ya harús yangu mpaka saw nñe cjaletewa chai chumbn mbn niliwapigia cm jmn vp sili au
2026-07-28 15:47:52
84
iky :
nashindwa kuelewa
2026-07-28 09:29:05
60
IlhaNay :
usione nilikua nakula kihalati nina njaa😂😂😂
2026-07-28 11:47:16
62
ا لحبيب سالم :
hhhhhhhhhhhhhh
2026-07-29 03:58:03
0
Rahma omary :
bwana harusii Kaz anayo
2026-07-28 10:35:47
28
Mama Boss 🧑🍼🥀 :
ila hizi harusi zinamambo. mimi libanwa na gauni alafu nilikua na mimba nilivofika mezani nikakuta wamepanga soda nilimuita mtu azitoe soda zote sitaki kuziona🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
2026-07-29 05:06:30
13
aziza :
hahahahhhhhh
2026-07-28 11:02:05
0
Miss Boss 💝 ❤️ 💖 :
unatafuta comment gan mwenetu nashindwa kuelewa 🤣🤣🤣🤣
2026-07-28 13:29:05
22
Alafin_AbduL :
mrubu One 😁😂
2026-07-28 11:02:45
0
Mwarain :
huyo mdada anavyoongea hadi raha natamani kumsikiliza 2 nimerudia zaidi ya mara mbili kwa ajili yake👌🥰
2026-07-29 07:01:54
9
chii :
jmn wamiembn ndio wpo hvy🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-29 11:34:45
0
🥗aunt muu kitchen 🥗 :
kwa nn lkn miembeni umeacha mitaa yote😂😂😂
2026-07-28 22:21:50
1
MISHI :
huyo b harus n mm 😅😅 enzi zangu
2026-07-28 13:20:58
11
MPEMBA HALISII 43 Kwa heshma :
et nna njaaa
2026-07-28 08:05:04
6
ZEY colletion 💐💐🥀🌸🌺 :
Sasa mtu asione njaa😁😁😁
2026-07-28 10:38:14
10
blackdevilog :
nimependa iv muliv cheka iv mwish tu
2026-07-28 20:06:17
3
cute.jammy :
😅😅😅 ety bi harusi wa miemben jaman 😁
2026-07-29 07:39:44
0
Hamra :
Ni kweli huwa huwezi kula pale😁😁😁
2026-07-29 10:05:50
1
Ramla❤️ :
Mbona miembeni jmniii😂😂😂
2026-07-28 12:38:48
2
Bebs dillah💫💥💚💚💯💯 :
hivi wapo walorejea zaid ya mara mbili km mm
2026-07-29 06:06:45
4
🤲🙏 :
kihalati ni nn😳
2026-07-29 05:25:24
3
manga :
We biharusi wa miembeni eee😁😁
2026-07-28 21:08:40
0
baby_nana :
sasa mtaa wetu umewakosea nn🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-28 19:41:06
4
To see more videos from user @mrube.vibe, please go to the Tikwm
homepage.