@jero_jetu1: LIKE • 🔄 SHARE • 💬COMMENT 👇 Hakuna shida inayodumu milele Allah anatuhakikishia kuwa kila unapopitia kipindi kigumu Ameweka pia njia ya faraja msaada au suluhisho. Wakati mwingine wepesi huo huja haraka na wakati mwingine huja baada ya subira na juhudi.